JUMONG, heading na content haviwiani mbona?Ndoa nyingi ndivyo zilivyo na ndiyo maana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi ya HIV.
Kama una mfano tofauti njoo na pointi.
Jumong 🙂
Who is Jumong? Yutong's son?
Ndoa nyingi ndivyo zilivyo na ndiyo maana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi ya HIV.
Kama una mfano tofauti njoo na pointi.