nilipita maskani moja leo jioni (maskani ya vijana)nikakuta mada ya mchepuko salama kama ifuatavyo
kuwa na namba ya simu ambayo wife/mume hataijua hii uitumie kuwasiliana na mchepuko
nunua...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, leo ni siku ya kucheza muziki duniani.
Hivyo Jitahidi ucheze hata kidogo ikizingatiwa kuwa hii siku imepangwa mwisho wa mwezi.
Wapendwa wana MMU wenzangua. Ni jioni nyingine tena napenda kuwashiriksha juu hili tatizo la Mgogoro kati wa maisha ambao huwakumba watu wengi walio katika kipindi cha mpito yaani kuhama kutoka...
Habari wana Jf,
Natumaini wengi wetu humu tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa ujumla..,yapo mambo mengi ambayo wanaume hamyapendi kwenye mahusiano yenu yanayofanywa na wenzi wenu...
Habarini wanaMMU.
Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye...
Huwa nasikia watu wanafanya mapenzi kwa njia ya simu, je mwana JF hususani mwana MMU umewahi kujaribu njia hii na ukafika on the peak...?
Na wanawake pia huwa mnafika kule kwa njia ya simu tu...
Habari zenu wadau wa MMU. Naona jukwaa limevamiwa na watoto wengi ambao wanaomba ushauri mambo madogo madogo ambayo kwa akili ya kawaida unaweza solve bila msaada wa mtu. Tukiachana na...
Habari watu wa humu ndani,
Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.
Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote...
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka...
Ndoa ni ya kanisani na Umeishi na mkeo kwa miaka mnne na kubarikiwa kupata watoto wawili. Ghafla unagundua mkeo ni mshirikina kwa kuwasiliana na waganga ili ndugu zako wathurike tena kwa...
Kwa moyo mkunjufu kabisa, Nawapongeza wasichana wote above 18+ ambao still ni mabikra ambao ni wanachama na wapenzi wa JF. Hamna watu wengine wazuri kuliko hawa wasichana. Tafadhali, kunyweni soda...
<font color="#0000cd">
Hivi denda ni nini kama siyo kunyonyana ndimi kwa wapendanao?
Kwa nini watu wazima wako tayari kunyonyana ndimi na hata kuhatarisha maisha yao....
Jibu ni kuwa wanapendana...
Nimesikia sana maneno maneno ya kuwadharau na kuwaponda wasichana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea.
Nilimsikia kijana moja akisema, msichana mwenye miaka zaidi ya 30 anaolewa na...
Wives uleta shida katika familia zetu na ukiwasikiliza sana unapotea
P square naona tatizo lao kubwa ni huyo mwenye mke aliye owa juzi juzi
Kabla sijaliongelea hili na-declare interest kuwa mimi...
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia.
1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment.
2.Mkitakakuonana mnatumia picha...
Kwa muda mrefu nimegundua hamna mstari wa mwisho kwa kila moja katika mbio za kimaisha
Usafiri wetu ni tofauti na muda wetu ni tofauti. Kwa mfano, mtu moja anamaliza chuo akiwa na umri wa miaka...
Wasalaaam wana mmu..share wth me the story of the women i will always love and respect..
I clearly remember it was after orientation week that nilizoeana na uyu dada (ofcoz m hua n mcheshi na...
Warembo niwaulize,men mnisaidie,kwa nini mabinti hawana feelings na wana wenye Hiphop lifestyle.Acha uhusiano wa mapenzi,hata ngoma zetu za movement "harakati" hamtaki kuskiza!Hata zile ngoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.