Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi mtoto akifikisha miaka kuanzia mitatu ni vema akaanza kulala chumba tofauti na chenu, kwakuwa mtakayoyafanya yote usiku mkidhani hawaoni na wamelala, mnajiongopea, hawalali hao wanasubiri tu muanze wapate sinema ya bure