Wadau leo napenda niseme juu ya suala la Mavazi ya kutega watu(mavazi yasiyo na staha) hasa kwa waajiriwa wa Umma.Nimeweka picha hapo juu kama kielelezo cha askari wa kike nchini Kenya,lakini hata...
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.
1. You have been to a party where at least two of your friends brought their wives
2. You've uttered the phrase 'I'm too old for fiesta'
3. Weekend nights: Instead of having 8 drinks at four...
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto...
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana...
Wadau hivi majuzi kuna takwimu za TACAIDS zimetolewa kuhusu mahusiano na maambukizi mapya katika mkoa wa Tanga,takwimu hizo zinaonyesha mambo yafuatayo;
1.Asilimia 75 ya wanaume wa Tanga wana...
Nimekuwa na mke wangu zaidi ya miaka 8, tuliishi kwa maelewano ijapo hakuwa sana, maana mtazamo wa mwenzangu inaonekana haikuwa m2 mwenye kipata cha kawaida namaanisha kuanzia 600,000 kuja...
Wanasaikolojia wanasema kuwa kila tendo analofanya mtu lina sababu zake, haijalishi iwe nzuri au mbaya,
Kauli hiyo inanifanya nijiulize sababu ya wasichana/wanawake kuamua kuvaa nguo fupi(min...
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada...
Ni haoo....! Nawasalimu wana MMU wote!
Tuanze wiki na mambo chanya...leo tuzungumzie UTANI(Jokes) kwa wana ndoa na hapa nagusia zaidi kina baba mana hali si ya kuridhisha kwa upande wao zaid...
Naishi Dar. Wakati flani nilienda A-town kikazi, demu wangu akanifuata. Kwa mara ya kwanza kwenye uhusiano wetu (wa mwaka mmoja) tuka-sex kavukavu. Wiki moja baadae demu akaniambia ana mimba...
Hebu fikiria, umetoka na mkeo kwa ajili ya mlo wa jioni. Mgahawa ni mzuri uko pembezoni mwa bahari. Upepo mwanana unazifurahisha nyoyo zenu. Mnakumbushana milima na mabonde mliyopitia. Mnacheka...
Habari wana JF...
Baada ya maumivu makali ya kipindi cha mda mrefu na mateso...sasa nimeamua kujituliza sehemu ambayo kweli nimependa,.najisikia upendwa,nasikilizwa na kudekezwa pia hamna...
Sisi wanaume unaweza kuwa na mchepuko ila mkeo asigundue chochote unahudumia familia kama kawaida na huoneshi tofauti yeyote lakini wanawake akianza kuchepuka ni balaa, kiburi,nyodo, dharau kwa...
wanajamvi naombeni mnishauri nifanyeje!
Mimi ni kijana mwenye miaka 26! si expert saana katika sector ya mapenzi! ila nina tatizo moja! huwa nikiona mwanamke ameng'ata ulimi wake! au ametoa ulimi...
HABARI WA MMU.
Iko hivi,mke wa mtu fulani,mume kasafiri kwa masomo kwa miaka 2 oversee. kuna mdogo wa mume anaishi pale kumpa tafu shemejie kwa dharula ndogo ndogo.Baada ya miezi 6 mke ambae ni...
Wanajanvi, sijakosea kuweka uzi huu hapa, ndo hisia zangu zilikonipeleka. Mimi nipo zangu mikoa ya nyanda za juu Kusini, jana nimefikia kwa ndugu yangu mmoja, kufika pale nakutana na mgeni...
Habarini wana MMU?
Nina jambo ambalo nimekuwa nijiuliza sana na kutafutia majibu bila kujua majibu sahihi ni yapi hasa na hivyo kuamua kulileta swala hili humu mmu.
Swala lenyewe ni hili...
Just because you have problems in
your marriage doesn't mean your
marriage is over. No marriage is
without problems. 100% of all
marriages face problems. If you
meet a couple that says they...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.