Nini maana halisi ya kutoa/kutolewa, mahari?

Nini maana halisi ya kutoa/kutolewa, mahari?

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Nijuzeni wakuu, maana kuna mataifa mwanamke anamlipia mwanaume mahari, na kuna mataifa mwanaume ndo anafanya hivyo maana halisi ni ipi?
 
...we vick mbona swali pana sana na halieleweki,ishu ni nini ?mchakato wa mahari,uhalali ?maana yake?kuoa au kuolewa..?
 
Si unawazazi?waulize sisi hatujaoa.sio kila kitu uulize humu nyambafu...loading error.....
 
Back
Top Bottom