Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
[h=5]Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke wangu kwenda Hospitali kwa ajili ya uchunguzi ili kujua tatizo na namna ya kulitatua.

Baada ya vipimo ilionekana mimi na mke wangu ni wazima kabisa na hatuna matatizo ya uzazi kama nilivyohisi awali kwani familia yangu imekuwa ikisema mke wangu hana uzazi na upande wa mke wangu wanadai mimi sina mbegu za uzazi.

Ilibidi mimi niwajulishe hali halisi wazazi wangu na mke wangu nikamwambia awaeleze wazazi wake ili maneno maneno yaishe bali tusubiri neema ya Mungu kwani yeye ndiye muweza.

Baada ya kuwajulisha pande zote mbili, mama mkwe wangu aliniita niende kwake mimi tu ana mazungumzo nami ya faragha kuhusiana na tatizo letu.

Juzi nilienda mida ya mchana nikapikiwa chakula kizuri na nikaambiwa na shemeji yangu kuwa mama ataongea nami usiku akiwa ametulia.

Alichoniambia ni hiki ''Ili ndoa yenu ipate mtoto ni Lazima nikutengenezee dawa na ufanye MAPENZI na mimi kwa muda wa siku mbili, mwanangu sikulazimishi ni uamuzi wako mwenyewe. Ukiacha hutazaa milele. Nenda ukafikirie na mkeo usimwambie haya''

Sina hali mwenzenu, Naomba msaada wa Mawazo......[/h]
 
Mmh option zingine bana,utata mtupu
huyo mama mkwe its possible ni mchawi
 
Mkuu hapo sikushauri ufanye naye. kama umeweza kuingia JF basi tatizo lako unaweza kulitatua kwa njia zingine. Soma soma kuhusu namna ya kumfungisha mimba mkeo.
 
Mh haya tena makubwa, kama ni dawa yakuwasaidia NYOTE BASI mwambie mama mkwe na mkeo ajue ili siku asije sikia ikawa so kwako.

Dunia hii tembea uyaone.lol!
 
This guy is a joker

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.
AM NOT HAPPY WITH THE FRIENDS OF MY WIFE

Hi Guys . Been married for 2 years now. Love my wife so much. But something disturbs me. All of her close friends are not married and they are her biggest advisers. Am very Uncomfortable about this and i have requested her to drop off these friends and look for married friends who can give her good advice on marriage and relationships. But she has become wild and the other day, she invited her friends over and they all told me off. The friends told me that i met her when she was already friends with them and i should respect that. Should i be worried??

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.
 
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke wangu kwenda Hospitali kwa ajili ya uchunguzi ili kujua tatizo na namna ya kulitatua.

Baada ya vipimo ilionekana mimi na mke wangu ni wazima kabisa na hatuna matatizo ya uzazi kama nilivyohisi awali kwani familia yangu imekuwa ikisema mke wangu hana uzazi na upande wa mke wangu wanadai mimi sina mbegu za uzazi.

Ilibidi mimi niwajulishe hali halisi wazazi wangu na mke wangu nikamwambia awaeleze wazazi wake ili maneno maneno yaishe bali tusubiri neema ya Mungu kwani yeye ndiye muweza.

Baada ya kuwajulisha pande zote mbili, mama mkwe wangu aliniita niende kwake mimi tu ana mazungumzo nami ya faragha kuhusiana na tatizo letu.

Juzi nilienda mida ya mchana nikapikiwa chakula kizuri na nikaambiwa na shemeji yangu kuwa mama ataongea nami usiku akiwa ametulia.

Alichoniambia ni hiki ''Ili ndoa yenu ipate mtoto ni Lazima nikutengenezee dawa na ufanye MAPENZI na mimi kwa muda wa siku mbili, mwanangu sikulazimishi ni uamuzi wako mwenyewe. Ukiacha hutazaa milele. Nenda ukafikirie na mkeo usimwambie haya''

Sina hali mwenzenu, Naomba msaada wa Mawazo......
Rudi kwake ukiwa na recoder jifanye hujaelewa kama kweli alikuwa siriazi, mrekodi huku ukimuuliza maswali ya kumfanya ajieleze ni uhusiano gani uliopo kati ya nyie kutopata mtoto na kufanya naye mapenzi... THEN UNAMLIPUA KWA FAMILIA YAKE... Muhusishe mkeo baada ya kupata ushahidi
 
hauhitaji msaada wa mawazo.......

Unahitaji kumwambia mkweo HAPANA

then mkaomba Mungu na kuendelea na ushauri wa daktari.
 
Hadi miaka 7, hamjawahi kwenda hospital? Ndio mnashauriana now? he he he he he, hizi ndowa hizi!!!

Mama Mkwe ana ugwadu? Mme wake yuko hai? Au alimtengeneza bintie?

Nenda katafute suluhisho za kitabibu, si mpandikize hizo mbegu??

Mnaogopa gharama za pesa na kukumbatia gharama za kishetani tu
 
Kufikia mama mkwe kukuambia jambo kama hilo keshakuona zoba na kaona uelekeo

Mie kuna vitu mtu hata guts za kuniambia hawezi zipata

hauhitaji msaada wa mawazo.......

Unahitaji kumwambia mkweo HAPANA

then mkaomba Mungu na kuendelea na ushauri wa daktari.
 
Mpaka umekuja kuomba ushauri huku, ni kwamba hata wewe inaonekana Ushauri wa Mama Mkwe bado unaweza kuufanyia kazi kama utapata watu ambao watakuunga mkono. Si ajabu ulishaichafua, sasa umekuja humu kutafuta uhalali tu. Mama mkwe wa siku hizi si kama wa zamani tena wengine ni warembo kuliko watoto zao. Gonga mzee, usiulize ulize. Si kaileta mwenyewe? Kula!!
 
vipi lakini mama mke huyo analipa? shepu yake inaamusha ari! kama vipi fumba macho, piga!
 
Inawezekana huyo mamamkwe akawa mchawi na labda ndio yeye aliyemfungia mwanae asizae. Hata hivyo Nyumba yako inahitaji maombi shirikisha na viongozi wako wa dini hiyo mambo itaisha. Pole sana kwa majaribu uyapatayo!
 
mkuu kama unasoma biblia kulala na mama mkwe ni laana kubwa usijaribu soma mambo ya walawi 20:12
 
No wonder

Kijana at 40??? Sometimes wanawake tunaolewa na wanawake wenzetu katika sura ya mwanamme
We Kongosho sijui kongoro hivi, mbona una matusi ya reja reja na jumla pamoja namna hii? Haya, umeolewa mwanawake mwenzako katika sura ya mwanamme, lakini si unabeba mimba? si unaendesha magari? si unakula?na hivyo vyote kwa kuhangaika kwake? AU SHEMEJI YETU KAKUOA WEWE MWANAUME MWENZIE MWENYE SURA YA KIKE?
CC: Shehe Yahaya huko huko aliko
 
Huyo mamamkwe wako yupo FACEBOOK??au JF maana yawezekana ni secretary na kila siku anasoma visa vya mitandaoni anaona nibora akugegede mwenyewe....je Mda wote huo ukuwaza kwenda hsptal?mpaka miaka 7ndo unashtuka?labda anaona wewe punga ndo maana anaona ngoja nijihakikishie??au mkeo ni rafiki wa mamake zaidi ya mtoto kila jambo wanaonge hata akichiti ansema na ukimgegeda anamwambia mamake??Fanyia kazi mamb hayo na usimpe tena uwezo wakukwambia ujinga kama huo!
 
Back
Top Bottom