hips.com
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 344
- 91
Nimetafakari sana jambo hili
Zamani msemo huu ulikuwa ndo kama sala kwa wazazi kwenda kwa mabinti zao KUJITUNZA
Utaambiwa tunza mwili wako ni heshima mumeo akikukuta bado bikra
Sasa inakuwaje binti kajitunza alafu maskini anakuja kuambulia mume mpenda michepuko ama mume anaemfanya akose raha ya maisha
Je kuna sababu ya kujichunga hivyoooo alafu uje uagukie pua:what: karibuni miss neddy preta Masai Dada bila kumsahau Lara 1 na Evelyn salt