Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utajuaje kama mpenzio anakupenda kwa dhati, Ishara gani huonyesha kwako au dalili zipi huonyesha......
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari WANA MMU...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari za saizi na poleni kwa majukumu ndugu zngu,ila nashukuru kwa walioni nshauri nakunikosoa jana kwa ombi langu la kupata mdada wakula nae raha jana,kwa bahati nzuri au mbaya ombi langu...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Shalom wana MMU!! Kuna msichana nilimpenda ,propably alikua rafiki yangu. Siku moja nika maproch akasema ana boyfriend na tena ni rafiki yangu, baada ya hapo tukaendelea kuwa friends kama...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28,mkristo nasali romani catholic na nimeokoka,elimu yangu ni shahada ya uzamili yaani masters,nina kazi nzuri tu na ni mwajiliwa wa selikali, rangi ni maji...
9 Reactions
143 Replies
112K Views
Hbr ya kuamka wana MMU wenzangu? Siku yangu imeanza vema, hofu ni kwenu nyinyi. Tuwaombee heri wagonjwa ili warudi ktk siha zao za kawaida na warejee ktk utebdaji wao wa kila siku. Tuwafariji...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wana JF, Kila siku nimekua nkitamani sana kuolewa, nikiwa peke yangu ni kuononeka tu moyoni juu ya hilli. Na hii imetokea baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu ambaye tulipanga...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Together 4 Ever Wives: Your husband's greatest need is to be respected. If asked to choose between being loved and being respected, your husband would rather be respected than be loved. In fact...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wanajf, mimi naishi Dar, umri wangu 24, ninahitaji girlfriend alie serious katika uhusiano,dini yoyote,kabila lolote,kama upo mwenye vigezo piga 0714702720
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nimekuwa katika kipindi cha muda mrefu hapa Songea yapata miezi 4. nikipambana na life la hapa. Kama mnavyofahamu kabisa kijana lijari sometimes ni vigumu kivumilia hali ya upweke. nika jipanga...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Unajijua kabisa kama wewe ni mume wa mtu, unadate mchepuko hadi kuupangia chumba/nyumba, ukitoka huko ukija unakaa kidogo kisha unarudi kwako mkavuu! Huyu unamwacha nanani usiku mzima hali anajua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
nilipita maskani moja leo jioni (maskani ya vijana)nikakuta mada ya mchepuko salama kama ifuatavyo kuwa na namba ya simu ambayo wife/mume hataijua hii uitumie kuwasiliana na mchepuko nunua...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, leo ni siku ya kucheza muziki duniani. Hivyo Jitahidi ucheze hata kidogo ikizingatiwa kuwa hii siku imepangwa mwisho wa mwezi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa wana MMU wenzangua. Ni jioni nyingine tena napenda kuwashiriksha juu hili tatizo la Mgogoro kati wa maisha ambao huwakumba watu wengi walio katika kipindi cha mpito yaani kuhama kutoka...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Natumaini wengi wetu humu tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa ujumla..,yapo mambo mengi ambayo wanaume hamyapendi kwenye mahusiano yenu yanayofanywa na wenzi wenu...
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Jamani za leo bandugu, Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya...nimechoka mmmmmmhhhh.
0 Reactions
86 Replies
24K Views
Habarini wanaMMU. Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom