Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Weekend hii nikiwa nimepumzika nikitizama filamu kwenye luninga,nikaona part ambayo imenipa maswali,wapendanao walifunga ndoa kisha kawaida bride(bi harusi) kabla ya kuondoka na mumewe...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ngoja ni share nanyi maswahibu yaliyonikuta leo hii. Basi hapa mtaani kuna mdada mkimyaa na mpole. Yaani hanaga stori na wanaume asee, mpaka mtaani masela hawampendi wanadai anaringa. Basi mi...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari wakulu? Niko huku pemba kikazi tangu january.nilichokiona huku ngono inapigwa kisawasawa na hijab zao.Na mitungi
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunapo ongelea haki, ni kitu tulicho zaliwa nacho. Kila mtu ana haki ya kutunza siri zake bila kujalisha ni siri za namna gani. Sidhani kama ndoa ni kihalalishi pekee kuvunja haki hii. Utakuta...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndio kama mwezi nimemalizia kujenga nyumba yangu ya vyumba viwili na sebule + choo na jiko self container mbezi kutokana na ubize wa kutafuta pesa hukuhuku nilkua mbali sana na mapenzi nikiwa na...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari za masiku mengi Naamini mko wazima tunaendelea salama na ujenzi wa Taifa Kama nilivyowahi kuandika mikasa yangu hapa pamoja na mume wangu kunitenda sana pamoja na kunisaliti sana pamoja...
12 Reactions
148 Replies
13K Views
Jumamosi ya wiki hii kijana wa kaka yangu anafunga ndoa, mimi kama baba mdogo, nimepewa jukumu la kutoa nasaha, na hapa nimejaribu kwa haraka haraka kuandika nasaha nitakayoisoma siku hiyo ya...
10 Reactions
26 Replies
7K Views
Wanajifanyaga wagumu na wakikubali wanakwambia nimekukubali wewe tuu, mkiingia gesti wanasemaga ndio mara yao ya kwanza, kuvua pichu mbinde, wakati wa pre-match wanajifanya kubana miguu...lakini...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wadau naomba ushauri m nataka kumuoa msichana wa ki2c kutokea manyovu kigoma...vp wa2 hawa wanafaa au niangalie mbele:faint2:
0 Reactions
24 Replies
3K Views
ningependa kujua kama umewahi kulamba kikwapa cha mpenzi,,aisee kama hujawahi unangoja nn?? hujui kama mapenzi ni uchafu?? jaribu leo uone raha yake
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Habar humu ndan.naomba msaada wenu tafadhal.natafuta hotel nzur ambayo pametulia na wanapiga mzik wa taratibu.kwan nimetoka kutendwa mwenzenu.ngoja niwape story.nilikuwa na mpenz wangu ambaye...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo. Wazee wa getini huwa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Naamini naongea na watu wa rika mbalimbali kwamba vijana na watu wazima wenye familia basi kama mada inavyojieleza niko hapa kuwaambia vijana na wazazi kuwafundisha watoto na vijana na hata watu...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
  • Closed
Marafiki, Nilikuwa najiuliza hapa, ni jinsi gani naweza kuwa mod wa jf hasa jukwaa la mapenzi. Inatakiw nijue sana mapenzi au? na vigezo vingine hasa ni vipi? Kwa anayefahamu tafadhali, Asanteni
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Ndugu wana MMU nawasalimuni wote, poleni kwa majukumu. Nakuja na ujumbe huu jioni hii. Nawaombeni msamaha wale wote nilowakosea aidha kuwaudhi au kwa kukwaruzana katika nyuzi mbalimbali nilipokuwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika kutathmini juu ya utaratibu wa Ufungishaji ndoa hasusani katika makanisa ninajikuta nina maswali kadhaa ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha ili kubadilishana uzoefu na kuongezeana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili
4 Reactions
134 Replies
10K Views
Ukiachilia mbali mahusiano ya kitoto wakati wa ukuaji - kabla ya kuanza shule ya awali/msingi, wakati ukiwa shule ya msingi au sekondari hasahasa ukiwa O-level na pengine A-level, mahusiano...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana jamvi!! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninatafuta rafiki wa kike popote pale tz!! Aliye tayari tuwasiliane kwa; +255782047072!!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom