VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
We nae umetuchosha na huo upuuzi,lete mada yenye akili.si umpm??loading error.....
Hata mm nakubaliana na KIBOKO10 kwa 100% make mnamo Tarehe 22 December 2013, Bujibuji Mwenyewe alianzisha uzi wakuomba ushauri namna ya kuzuia ma.t.ako yasitingishike (ya ache kucheza cheza atembeapo) , eti amekuwa ana vaa tight hadi 3 kwa kuogopa miliuzi na mayowe ya Vijana wa kiume. Kwa taarifa zaidi tuwasubili Mtambuzi na Mzizimkavu, make inonesha ni mashwahiba wa karibu sana , mmoja wao akipost-mmoja wao ana comment au ana LIKE.
Mkuu edit jina langu mimi ni kibo10
Na sio kiboko10
Kwani kina Bujibuji wamo wangapi humu? Najiamini mimi tu ndo mwanaume nnauhakika pengine wote humu.....
Tutake radhi ankal vidume tupo
Hahaaahaa kumbe nipo na wenzangu....
Kumradhi ankal ila siku hizi umepotea
Hii mada kama ya kishoga vile.Utaachaje kujadili jambo unamjadili mtu .Bujibuji mimi huwa nakutana nae kule Jukwaa la siasa pia.
Hii mada kama ya kishoga vile.Utaachaje kujadili jambo unamjadili mtu .Bujibuji mimi huwa nakutana nae kule Jukwaa la siasa pia.
Naogopa kusutwa bosi wangu.labda niongezee salio nimDipu akinipigia nikuunganishe conference call umuulize weye.nakutuma ukatuulizie huyo mwenzako jinsia yake maana katuacha njia panda
Hii mada kama ya kishoga vile.Utaachaje kujadili jambo unamjadili mtu .Bujibuji mimi huwa nakutana nae kule Jukwaa la siasa pia.