Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,823
- 140,862
Wakuu wa MMU ni vyema tukawekana sawa.Kuna watu tumekuwa mabahili sana kwa mabinti.Tukiwa na appointment yeye atatoa hela ya chakula,mimi nitalipa gest.nauli ni kujitegemea.Hakuna kuja na timu ya mashoga!Pengine ninakosea,na nipate uzoefu kwenu.Wenzangu mnahonga au kuhongwa mpaka shng ngapi?