Mabazazi wanakutana na mengi acheni tu jamani

Mabazazi wanakutana na mengi acheni tu jamani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,777
Reaction score
870,568
Wengi wanakoga ujasiri wa kusimulia haya lakini wanakumbana nayo sana tu,! Ni hatari mno kwenda kulala na mwanamke usiyemfahamu kabisa, mmekutana bar au popote umemtongoza kakubali fasta mkifika chumbani unakutana na haya

1.mwanamke anakutumbulia tu macho haongei hasogei kaganda

2. Mwingine ananyumbulika kama nyoka

3. Kuna wanaokuwa kama wanabadilika rangi kama kinyonga

4. Hawa nao ukimlalia ni kama umelalia skeleton

5. Wengine ukianza tu kudo anabadilika na kuwa fisi au kitimoto vibweka na vituko ni vingi mno huko vyumbani, lakini watu hawakomi tu.
 
Umtongoze tu mtu hata humjuwi tena mmekutana bar? mi siwezi kwa sasa
 
kuna watu wengi wametembea na majini bila wao kujua. hasa hao machangu, hao mnaookota bar, night clubs etc.
 
Malipo ya dhambi ni uharibifu...

Haijalishi mwanamke uliyelala naye umemtongoza bar, kwenye daladala au hata nyumba ya ibada, kama unafanya naye ngono kinyume na maandiko ya Mungu wote hawa wanaaitwa WAZINIFU...

Epuka zinaa ewe mwanadamu acha visingizio...
 
TeamBazazi njooni muome mwenzenu yaliyomkuta!!
 
Pole mkuu natumahi umejifunza kitu na umeacha ubazazi. Jamani wanaume tujifunze kwa kisa kilichimtokea Mshana Jr
 
Wengi wanakoga ujasiri wa kusimulia haya lakini wanakumbana nayo sana tu,! Ni hatari mno kwenda kulala na mwanamke usiyemfahamu kabisa, mmekutana bar au popote umemtongoza kakubali fasta mkifika chumbani unakutana na haya

1.mwanamke anakutumbulia tu macho haongei hasogei kaganda

2. Mwingine ananyumbulika kama nyoka

3. Kuna wanaokuwa kama wanabadilika rangi kama kinyonga

4. Hawa nao ukimlalia ni kama umelalia skeleton

5. Wengine ukianza tu kudo anabadilika na kuwa fisi au kitimoto vibweka na vituko ni vingi mno huko vyumbani, lakini watu hawakomi tu.

mmoja nae akaokota demu viwanja, akapiga gemu fresh, sasa wakati wa ku come, bwana we jamaa akatoa maji hayakatiki mpaka jamaa akapoteza fahamu, alipoamka akajikuta yuko alone na mlango umefungwa ndani kama alivyofunga kabla.
 
kwani wewe umekutana na visa gani kati ya ulivyovitaja?
 
Michepuko kumbe ndo inakuwa hivi vyumbani? Ngoja nami nkajaribu nije kuja toa ushuhuda hapa
 
Wengi wanakoga ujasiri wa kusimulia haya lakini wanakumbana nayo sana tu,! Ni hatari mno kwenda kulala na mwanamke usiyemfahamu kabisa, mmekutana bar au popote umemtongoza kakubali fasta mkifika chumbani unakutana na haya

1.mwanamke anakutumbulia tu macho haongei hasogei kaganda

2. Mwingine ananyumbulika kama nyoka

3. Kuna wanaokuwa kama wanabadilika rangi kama kinyonga

4. Hawa nao ukimlalia ni kama umelalia skeleton

5. Wengine ukianza tu kudo anabadilika na kuwa fisi au kitimoto vibweka na vituko ni vingi mno huko vyumbani, lakini watu hawakomi tu.

hiyo kitu inatokea sana..... Nilikuwa depo. Kwa wale waliopitia depo wanatambua hiyo tabia..... Baada ya kumaliza 6week za mafunzo tulienda walking out.... Bas ktk harakat za kutoa ugum wa mda mrefu nikamwotea dem mmoja maeneo ya kinyanambo c mafinga nikazama naye gest kabla hatujaanza lolote nikamuuliza jina lake nani?? Nikakuta kanigeuzia macho kwa hasira halafu meupee akatabasam kidogo akaniambia naitwa Marehemu niliposikia jina hilo nikamwambia nakuja nifuate kondom ndio ikawa safar moja kwa moja.....mpaka leo sinaham ya kurukia wanawake nisio wajua wengi wao ni majin
 
Last edited by a moderator:
Tabia hii chafu imewamaliza wengi tu. Mtu anasafiri anamhonga konda ati ampe siti na mwanamke mzuri. Anafanya bidii zote akishuka tu guest.
Unamjua?? Hapana, shida yangu nimgegede tu. Siku mtakutana na maajabu hayo aliyo yasema Mshana jr. Neno la Mungu linasema; Ikimbie zinaa. Siyo uikimilie! Upo hapo?
 
na bado hamkomi looo.....

Mtajalala ya marehemu na majini bure acheni uhuni
 
Namkumbuka Rose wa Chichi Club Tanga........ usiombe ukutane nae.......
 
Back
Top Bottom