Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume...
Wanau me tuna vitu vinatufanya tupendwe na wanawake hasa kwa mara yakwanza kukutana naye. Na ukashindwa kuelewa nini kimemfanya mwanamke akubali haraka jibu ni wewe na mwonekano wako ndo...
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake...
Ni miaka zaidi ya mitano sasa mpo pamoja kama Mume na mke au kama BF/GF!na mnazidi kusukuma siku na maisha yanasonga. Lakini ikitokea siku moja ukaja kuulizwa swali kuwa "Do you still Love your...
Hello Wakuu,
Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi...
Matumizi ya neno kimada hapa yasitafsiriwe kuwa nimekosa heshima kwa wanawake. Wengi mnafahamu kuwa kuna mwanamke unayeweza kuwa naye kwa gharama zozote, kwa mda wowote lakini hautamani awe mkeo...
Picha haihusiani na habari hii..........
Kuna wakati mmeshawahi kusikia watu wakilalamika kwamba mume fulani amemuacha mkewe ambaye ana tabia nzuri, mcheshi, mvumilivu, mwaminifu na mweledi...
Wednesday, September 15, 2010 12:23 AM
Mwanaume wa nchini Ireland ambaye alimpachika mimba dada yake na kuzaa naye mtoto kabla ya kugundua kuwa ni ndugu yake...
Haya yametokea.. yalianza kwa huduma kwa nyumba ndogo na miaka ilipopita nyumba ndogo ikapanda cheo na kuanza kuwa nyumba kubwa..
Habari ndiyo hiyo.. sasa sijui kama ni fahari au aibu.
Wakuu nimefuatilia nimekoswa jibu! Mwisho wa siku nimeamua kuleta hapa JF kwa wadadavuzi!
Jamani hizi hizi simu simu za viganjani zina mambo!!Nimekuwa nikitizama kule na huko nipitapo katika...
Amigoooooooooooooooooooooo!
Iko hivi akina dada wa nchi za Afrika mashariki ikiwamo Tanzania wengi wenu sio wote mmezidi kuaibisha wanaume wanaotokea pande hzo hasa muwapo nje ya nchi zenu kama...
Wadau nataka kuifanya ndoa yangu iwe na furaha mno. Je wanawake wanapenda vitu gani nimfanyie my wife wangu ili awe na furaha muda wote na kuepusha migogoro kwenye ndoa naomba ushauri na mawazo na...
Mwenzio (mwenza/ mwenzi wako) anakujia na wazo la kubadilishana simu za mkononi angalau kwa wiki moja - kuanzia Jumatatu asubuhi hadi Jumapili jioni.
Na anataka mbadilishane papo hapo bila...
Hili ni vizuri mkalijadili na pengine kuwasaidia wengine.....
Huwa inatokea wakati mwingine unaweza kuwa na jirani au jamaa
ambae ni chui na paka na mpenzi wako......
Swali ni hili ,kama mtu...
Ukipata fedha usidharau watu ukajiona wewe ni bora kuliko wasiokuwa nazo,
Ukipata nafasi ya kusoma na usiwaone wale wasiosoma sio kitu, hata kama ni Wazazi wako,
huwezi kujifanya wewe ndo...
Hii Inakuhusu sana, hebu Izingatie.
Mkutano mkubwa wa Injili kwa wakazi wote wa Bukoba na majirani.
Karismatiki Katoliki Taifa, kwa Idhini ya Baba Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba...