Msaada Serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Serious

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Sep 8, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Wadau nataka kuifanya ndoa yangu iwe na furaha mno. Je wanawake wanapenda vitu gani nimfanyie my wife wangu ili awe na furaha muda wote na kuepusha migogoro kwenye ndoa naomba ushauri na mawazo na nitaufanyia kazi. Sema chochote ambacho una uhakika wanawake wanapenda kufanyiwa ili nami nikifanye please. Wanawake naomba mnisaidie serious nataka mabadiliko chanya
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wanawake wanapenda sana kupendwa, kudekezwa, kujaliwa na hawapendi kudanganywa. Mfano kama anafanya kazi basi kila mara umuulize vipi habari za kazi ikifika mchana umuulize umekula, kama hajala basi waweza mtumia lunch box, ikifika jioni kama unampitia mwambie 30minutes before umfuate hata kama anapanda daladala basi mwambie pole sana hii yote ni kumbembeleza tu. Ushauri wangu lakini
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Muoneshe kuwa unamjali sana....
  Mpe attention kila wakati anapotaka kuongea na wewe..
  Mheshimu hasa mbele za watu.......
  Jieupushe na maneno ya kuudhi.......
  Mpe space yake pia.....usimgande kutwa......
  Dharau maneno ya watu kuhusu mkeo,kama yapo.....
  Mfanye awe best friend wako .
  Jali ushauri wake....
  Heshimu ndugu zake,na marafiki zake.....
  Jitahidi pia kuwa na furaha mda mwingi ili apende kuwa na wewe....
  Mtoe out sana,
  mfanyie shpopping sana...
  Unapomkosea jifunze kumuomba msamaha hata kwa vitendo,kama kwa maneno huwezi..
  Zijue ndoto zake za maisha na umsaidie kuzifanikisha....
  Na mwisho kumbuka life is about giving each other beautifell memories na sio maudhi......
   
 4. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280


  Hii nimeipenda.
   
 5. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Thanks The Boss i will take that piece of advice
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hapa unazungumzia ndoa yenye umri wa wiki mbili, siyo? Otherwise, bado sijakuelewa vizuri...hick hick hick!:confused2::confused2:
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  sure imekaa kiuchumba zaidi naongelea ndoa yenye vyeti halali
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Afadhali umelielewa hilo kamanda. Ushauri unaokufaa kiasi kwamba nimekosa cha kuongeza ni huu hapa. Isipokuwa hizo kwenye red hazina mashiko sana na wala si lazima uzifanye ukishafanya hayo mengine yooooote.

  Sasa funga sredi yako twende kwenye lile jukwaa la magriiti thinkaz tukamjadili mchumba mporwaji wa Dr. Slaa na nyumba ndogo lukuki za JK.....
  :welcome::welcome::welcome:
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  hapana hii thread niacha open nadhani kuna mengi zaidi ya kuongezwa hasa kutoka kwa kinamama wenyewe naombeni msaada wanawake mnapenda nn nimfanyie my wife wangu?
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  aliyoongea THE BOSS yametulia(nimeyakubali)!
  kilio kikubwa cha kina mama ni UKOSEFU WA UAMINIFU WA KINA BABA!
  ushauri wangu ni uwe muaminifu, hakikisha mkeo anaamini(100%)kuwa tunda unalokula ni la kwake tu +the boss advice=happy mariage.
  hata umfanyie nini lkn akihisi hauko muaminifu kwake HAWEZI KUWA MWENYE FURAHA!
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Trust
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Issue ya msingi hapo ni ''LOVE''nothing more!
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Teh,teh,teh.....teh......teh,umeshashuhudia maisha ya ndoa ya wakurya wewe?????hapo kwenye RED, nina wasiwasi kidogo kwasababu kwa wakurya kama mwanaume humpigi hata kibao mke wako basi ina maana kuwa humpendi!N a mwanamke akiona hivyo anaweza hata kukushitaki akijua kuwa humpendi!
   
 14. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hawatosheki.... amsome amfaham vema....aje kipi afanye lini na wapi!!:lol:
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  True,wanawake wanatofautiana...
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Fanya jitihada ujue likes na dislikes zake ndio uweze kumtimizia anayoyapenda....otherwise u might end up loosing points when you thought una gain...and when you loose kurecover yataka kazi LOL..talk.. talk.. and talk to her and listen! mshauri na umuheshimu!!
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  mfanyie vi suprise vidogo vidogo,kulingana na uwezo wako.Au hata muandikie message za mapenzi muekee chini ya mto,mpelekee viji lunch kazini mtume mtu maalum wa kumpelekea,akishakupata hiyo lunch,muulize kama ameipenda kwa lugha ya mapenzi.ukiamka tu asubuhi,neno la kwanza mwaimbie jinsi gani unavyompenda.ikifika week end,umwambie leo nataka kukutoa out,just me and you.na kama una uwezo wa kukodi limouzine,unakodi kwa ajili ya kumtoa out,[bongo yapo]na kama huo uwezo huna haina neno.mnunulie chupi nzuri {zawadi kama hiyo wanawake wengi tunaipenda}mwambie kwa lugha ya mapenzi aivae ili umuone.vilevile ikifika anniversary yenu,isipite hivihivi fanya suprise ndogo yoyote ile,kama uwezo unakuruhusu,siku hiyo safiri nae,kaa nae hoteli nzuri,ukweli ata enjoy sana tu,baada ya kufanya yote hayo,usisahau kutupa matokeo humu j.f,jamani wanaume muwe hivyo,sio lazima haya niliyoyasema lakini wapeni attention za kimahaba wake zenu.
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Vipi Kisukari nikutumie CV yangu au tayari jimbo lina mgombea?
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  mmmh,sina usemi kwa kweli.juu ya yote hayo niliyosema,mimi ni mtu ambae sina bahati
   
 20. k

  kisukari JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Jambo jengine,akikukasirisha,mjibu kwa njia ya jokes,au yeye akikasirika,mfano mwambie mmh sweetie wangu{kama una mtoto }sio kila wakati mama fulani hapana,mama John,mama beatrice haihusu.mara moja moja majina ya mapenzi yanatosha,mmh darling wangu unavyozidi kukasirika ndio unazidi kupendeza,uzuri wako unazidi kila siku. Atacheka tu.jokes jokes za mapenzi nazo zinasaidia. mara moja moja mke akienda kuoga mwambie mke wangu leo nataka nikusugue mgongo.unamsugua huku unazidi kumpa maneno ya mapenzi,jamani raha mwee kupendwa.lakini yote hayo unaweza ukamfanyia mwanamme na akatafuta nyumba ndogo,ila funzadume nimependa kwa uamuzi wako wa kutaka kumridhisha mke wako,maana kila kitu wanawake tuwafanyie wanaume.
   
Loading...