Nikuweka mambo sawa au kuna ubadhilifu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikuweka mambo sawa au kuna ubadhilifu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 15, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimefuatilia nimekoswa jibu! Mwisho wa siku nimeamua kuleta hapa JF kwa wadadavuzi!
  Jamani hizi hizi simu simu za viganjani zina mambo!!Nimekuwa nikitizama kule na huko nipitapo katika kusaka mkwanja ila hasa ile mida yakutoka maofisini wakati kurudi majumbani mwetu wengi wetu wamekuwa wakikaa kitako nakuwa busy na simu!!ukichungulia unakuta ana delete messages.incoming call,dialled call's,missed call,Kwakweli katika utafiti huu niwengi nilioona kwa rika tofauti wanumme,wanwake ndo wengi!!Hata akina mama watu wazima Sasa mimi sijui kwanini??:confused2:
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Cheating.

  Kuna kuwa na mikataba kabisa: "Nikiwa home, don't call me. Neither send a message to me."

  Kwahiyo kufuta messages na call logs ni kuondoa footprints na ni seheme ya kutekeleza mkataba huo. (Mimi mwenyewe mmoja wao)
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huh...dont tell me broda!
  Inamaanisha wanakuwa na illegal sms and calls sio?...mbaya sana
  Halafu anarudi nyumbani anakwambia "i lafu (lough) you so much!...si ni utapeli huu!
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Watu wengi wanacheat sana katika mahusiano, na hii inatokana na kuwa katika relationships kwa kulazimisha tu.

  Elimu ya mahusiano inatakiwa zaidi, wazazi wawajibike kuwaeleza watoto mambo ya mahusiano.
  Aibu kwa wazazi kuwaelewesha watoto inaleta athali kubwa sana kwa wahusika. Watu wanapoteza muda mwingi sana kushughulikia migogoro ya relationships.
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hii yote ni CHEATING na si vinginevyo....! Are you not aware that every body cheats? Please, NO one never cheated in a relationship, unless he/she is not in a relationship...!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu??hapo kwenye red Baba askofu,FL1,Buji,Handsome,Mkj,Nyamayao,Fl80,Katerero,NN and other nitilie ubarikio wa maneno hayo ya Konakali!:becky:
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This is the truth. the whole truth, and nothing but the truth!!!
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Siyo kweli kuwa watu woooote wanacheat. Ila ukweli ni kuwa watu wengi wanacheat au wanafanya jitihada kucheat.

  Hata hivyo kufuta taarifa kwenye simu siyo lazima iwe ishara ya kucheat. Kuna wengine wanakosa kazi na kuanza kucheza na simu tu, mwisho wanaishia kufuta hizo records. Na wengine wanaondoa records ambazo labda zinaweza kuleta utata endapo zitasomwa na wenzi wao. Kwa mfano, sitafurahi nikikuta wife anabadilishana SMS na shoga wake kuhusu good/bad time alizopata wakati akiwa na ex-BF wake. Pia kuna sms nyingine za utani, watu hawataki kuzitunza. Kwa hiyo huwezi kutumia huo uzoefu wa kuona tu watu wanafuta phone records ukadai ni kwa sababu ya cheating, ingawa haiondoi uwezekano wa hicho kitu.
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Dark City Asante nadhani alipo Konakali atakuwa amekuelewa ila kama ananyongeza ngoja tumsubiri tuone nikwanini kila mara ifikapo nyakati za kufunga ofisi watu kitu chakwanza nikufuta record zote kwenye simu zao za vianjani hata wakati watu wapo baa tabia hii huendelea na bahati mbaya lager ikikolea akasahau uwiiiiiiiiiii huko nyumbani mzee mzima anaweza kuja na hogo(P.O.P) asubuhi!! Ukiwa naye karibu utasikia simu bwana!!!:becky:
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Poa Mkuu.
  Hata hivyo inabidi kukumbuka kuwa simu zimekuja jana tu wakati binadamu amekuwepo miaka kibao. Mambo ya kawaida katika maisha ya binadamu (ikiwemo biashara, mahusiano pamoja na cheating n.k) yamekuwa yakiendelea kwa karne nyingi tu. Simu zinasaidia katika mambo mengi kwa hiyo inabidi tuache kujielekeza kwenye cheating na ngono tu. Kwani watu wasio na simu wanafanyaje infidelity?
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  i don't cheat in relationship, i have never cheated and i will never cheat
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Where is the Proof?
   
 13. N

  Ngo JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  I never cheat to my lovely One, and I have no plan to do so!.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  How about him or her? What incontrovertible proof do you have that he/ she is not creepin' up on you?
   
 15. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  It may be true that Now you dont cheat in relationship and probabily you will never cheat in the future BUT i dont think to be true that You have NEVER cheated. I think that is CHEATING
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  You know when you are cheating you think everybody cheats that's the problem, If you are cheating its you please do not associate others as well to try to make it look like its a whole universe
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Same do i
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145


  Bora umejisemea ukweli.............. ni vizuri kutokwazana
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi unaanzaje kuchukua simu ya mwenzio na kuanza kui-search? mi hainiingii akilini! simu ni yake. na huyo mtu ana watu wanataniana, wanatumiana sms za utani nk. sasa kusearch simu yake si kujitafutia ugonjwa wa moyo? Simu ni private thing bwana, yaani mtu asiwe na uhuru na simu yake kisa kaoa/kaolewa? tupeane nafasi jamani
   
 20. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  no way
   
Loading...