Huwa mnajikumbushia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwa mnajikumbushia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Sep 9, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hello Wakuu,
  Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi mnapoingia kwenye ndoa na mnakuwa na kwenu na chumba chenu! Je chumba huwa kinachosha na kuenda kujikumbushia enzi mnajinafasi kwenye nyumba zetu za wageni au huwa mnafanyaje? :violin:
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  offcoz ..YES...once a month inashauriwa muwe mnapata outing moja kama hiyo ...na sehemu ziwe tofautitofauti...ila kwa sababu za kiuchumi na hapa kwetu tz basi sio mbaya saaaaaana ukiifanya kila baada ya miezi mitatu...NI MAONI TUU
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh....! Mkuu hata kwenye mitaro, kivuli cha mti, nyumba zinazojengwa lakini bado haijaisha, vichakani, zizi la mifugo, nyuma ya nyumba, na hata kwenye mahindi shambani mnajikumbushia? Iwapo mmepitia hizi sehemu zote na pia mnajikumbushia zote?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ni muhimu maana ndipo mlipoanzia, nyoka anapita pembeni mnatulia kimya halafu mnaendelea na shughuli! Ndiyo maana hata honeymoon haifanywi nyumbani ni kwenye nyumba za wageni:becky:
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wewe ulipata kumkumbushia mwenzio katika mazingira yapi kati ya hayo?
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwenye vichaka shambani mbezi tulienda kulima:becky::becky:
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh.....! Kwa hiyo baada ya muda unampeleka kichakani na kumtundika....? Kweli patamu...!
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280

  Kwenye ghetto la jamaa yangu, ambapo ndipo tulipoanzia, miaka kadhaa iliyopita.
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Heri mimi sijasema!
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Je, mliwahi kwenda kwa ghetto la mwenzenu kwa kukumbushana tena?
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi nimekuwa nikimlisha dawa za kichina (au limao) ili irudie kama awali, then tunaanza kukumbushia tena....! Mahali si kigezo sana kwangu...!
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unajua enzi zile hata mbigili husikii zikikuchoma maumivu na taabu ya kutoka eneo la tukio huja baada ya shughuli kukamiliaka:becky: Usisahau na michubuko ya magoti unakuta shuleni vijana mmejipaka majiviii kwenye magoti............:becky::becky:
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  jamani, sasa Konakali hizo dawa za kichina kitu si kinakuwa very artificial????
   
 14. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limao linasaidoa nini mkuu?
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Hata kila baada ya mwaka mmoja siyo mbaya
  Ila husiende zile unazopeleka nyumba dogo kitaharibika
   
 16. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu wewe na mpenzio ni watengeneza kachumabari/chachandu au? ebu tujuze.
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  kukumbushia muhimu wakulu,,

  mi nakumbukia kichaka fulani just by the side of a raod kijijini sema hakukuwa na wapita njia wengi, tuli do ze nidiful chap chap hadi nikikumbuka mzuka unapanda natamani kurudi pale
   
 18. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  u r such a genius.... wewe hutomegewa vyako...!!:smile-big:
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimekumbuka tulipokuwa tunaenda mtoni na baadae tunaenda kwenye mipera na kumaliza mambo yetu:)
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hii topic si mchezo.
   
Loading...