Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Wanau me tuna vitu vinatufanya tupendwe na wanawake hasa kwa mara yakwanza kukutana naye. Na ukashindwa kuelewa nini kimemfanya mwanamke akubali haraka jibu ni wewe na mwonekano wako ndo uliomvutia pamoja na kiambatanishi cha sound zako.

Nikiwa katika pitapita zangu nikakutana na wadada wakawa wanasema katika vitu nampendea mwanamme ni mwonekano wake ikiwemo na mavazi yake napenda mwanaume avae vitu original hata kama ni vya mtumba lakini akivaa vitu vya kichina namshusha sana.

Akataja kwa mfano, saa original , mkanda wangozi original siyo ya wamasai . Viatu pure leather vinavyoendana na na wakati siyo kuvaa Yu Toung (mchina) Napenda mwanaume avae flana ya ndani yani vest hata nikienda naye room nimkute na Boxer cotton siyo boxer imeandikwa TMK .

Cheni, pete kavaa ya ukweli kama silver iwe silver kweli na kama gold iwe gold kweli siyo kavaa mabati!. Nikaona dah kumbe wanawake uangalia mengi kwetu sisi wanaume.

Basi nikaondoka kimya maana nikaona wasije na mimi wakanisasambua bure maana najijua ila nilikuwa nimepiga vya ukweli.
 
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo

Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?
 
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo

Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans p

Hivi Chocs upo wap siku zote hizi
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu mwenzangu wao pia huwa wanapiga original au ndo vile? We mpe hela..mpe tena hela uone kama you tong haijaonekana scania

Mchina anaongoza sokoni...chezea!
 
looh mi nadataga mwanaume akitupi sio siri looh
alacu awe ananukia loooh uwiiii ukimuhag mpaka unahisi niko HOME OF GREAT THINKER

loooh afu awe mrefu kama oooh my God

unaweza ukasim....a
 
Wanau me tuna vitu vinatufanya tupendwe na wanawake hasa kwa mara yakwanza kukutana naye! Na ukashindwa kuelewa nini kimemfanya mwanamke akubali haraka jibu ni wewe na mwonekano wako!ndo uliomvutia pamoja na kiambatanishi cha sound zako! Nikiwa katika pitapita zangu nikakutana na wadada wakawa wanasema katika vitu nampendea mwanamme ni mwonekano wake ikiwemo na mavazi yake napenda mwanaume avae vitu original hata kama ni vya mtumba lakini akivaa vitu vya kichina namshusha sana!akataja kwa mfano! Saa Original Mkanda wangozi original siyo ya wamasai Viatu pure leather vinavyoendana na na wakati siyo kuvaa YU TOUNG(mchina) Napenda mwanaume avae flana ya ndani yani vest Hata nikienda naye room nimkute na Boxer cotton siyo boxer imeandikwa TMK au kind of stuff Chen,pete kavaa ya ukweli kama silver iwe silver kweli na kama gold iwe gold kweli siyo kavaa mabati! Nikaona dah kumbe wanawake uangalia mengi kwetu sisi wanaume!Basi nikaondoka kimya maana nikaona wasije na mimi wakanisasambua bure maana najijua ila nilikuwa nimepiga vya ukweli.

I should rather kill myself than commit suicide!
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Ndiye wewe nilikusalimia jana eeh!
 
Back
Top Bottom