Nitafute...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
attachment.php


nipo ilala bungoni, bei ni nafuu
 

Attachments

  • mganga!.jpg
    mganga!.jpg
    24.4 KB · Views: 530
Duuuu!! hhakyaaa mungu whallah!!! hawa waganga wa kienyeje wamezidi, yaaani Freemason imepamba moto tuu baaasi wameona pakupatia hela hapo...!
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: nimecheka sana jamani...
 
Kwani ndo anatibu vipi kujiunga au anamaanisha ana fomu za kujiunga?
 
kuna sku nakatiza kitaa nkakuta tangazo kaa hilo la nguvu za kiume, halafu wamechora mwananke wa 'kibantu'..these guys are getting really creative and hilarious at the same time...kaz kwelkwel.
 
yaaan,,,bongo da si salama,,,,,mwalim dasan nadanganya oi,na uzushi na maneno mbofumbofu,,,,,,,,,,,rip mr ebo,
 
View attachment 56266nipo ilala bungoni,bei ni nafuu

Tapeli mkubwa huyu,huyu jamaa kawah kumtapeli ndugu yangu mmoja alienda kutibiwa kwake kitu cha kwanza anachofanya ni kupiga ramli na anatumia simu na spika aliyoiunganisha kwenye kibuyu then mtu mwingine anakua anaongea kutoka chumba kingine.Na akitapeli sehemu moja anahamia nyingine ni mtandao wa wezi na matapeli ana ofisi (kijiwe) nyingine sijui tabata,ukonga,kinyerezi nk
 
Hahahah! kweli mjini shule na kuzaliwa mjini tu tayari form6.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom