Ungejibu vipi kama leo ungeulizwa swali hili..................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungejibu vipi kama leo ungeulizwa swali hili.....................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, Sep 14, 2010.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni miaka zaidi ya mitano sasa mpo pamoja kama Mume na mke au kama BF/GF!na mnazidi kusukuma siku na maisha yanasonga. Lakini ikitokea siku moja ukaja kuulizwa swali kuwa "Do you still Love your wife/husband/BF/GF"?, je wewe kama mwana JF ungetoa jibu gani?

  Karibuni waungwana tuchangie mawazo!
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ningejibu YES
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ningesema yes...lakini moyoni ningesema i wish i did not marry this person. Very trouble some and stubborn like a mule.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ha Ha Ha Ha Bongolander bwana:becky::becky::becky::becky:
   
 5. B

  BARRY JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  nsingejibu...........nitabaki na siri inayonitesa moyoni
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ningejibu Yes I do but she is very stubborn sometimes I just can't stand her.:becky::becky::glasses-nerdy::smile-big:
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwanini uumie na siri moyoni TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA THEN ZUNGUMZA
   
 8. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :confused2:
   
 9. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  That is a very difficult question, because it is difficult to get the correct answer. I concur with others who said that "yes" is the answer, but remain with true answer in the heart.
   
 10. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  RED; kama ni siri inabaki inakutesa moyoni,yamkini si jambo la heri hata kidogo!
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mpwa nahitaji mchango wako hapa!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa mimi nadhani jibu litakuwa ni YES bila kujiumauma!
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ningejibu 'NO, but I just cant live without him'
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  its deffo yes lakini na vipande vyake ningempa hapohapo
   
 15. k

  kiparah JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwa Falsafa ya kawaida unaweza kulichukulia swali hili simple sana, lakini naamini jamaa amefikiri kwa kina mno.

  Kiukweli swali hilo ukiwauliza wanandoa wengi hivi sasa jibu lake litakuwa negative na hii ni kutokana na hali halisi ya maisha, hasa kuchokana na mambo kama hayo, lakini hakuna atakayesema NO, kwa sababu ya kigezo cha maisha, nini mmefanya+watoto.

  But all in all, waliopo kwenye ndoa kwa sasa sometimes wanaona kama walifanya makosa kuoa/kuolewa na huyo aliyenaye.

  Nawasilisha hoja.
   
 16. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mmh inawezekanaje
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mpwa kiukweli kati hali yoyote ile kuna kukoseana ila pamoja na yote hayo lazima useme ukweli kuwa kama huyo mwenzi wako bado unampenda utatoa pia NEGATIVE na POSITIVE reason pia inawezekana unampenda lakini sometimes anakuwa na vijitabia fulani ambavyo vinakera kwahiyo lazima uviseme ili akae akijua kuwa sio kila siku wote mnaenda kulia siku nyingine mwenzako anaenda kushoto, na sio kuanza kubaki na siri moyoni ambayo itakutesa tu kisa ili msionekane kuwa mahusiano yenu hayana matatizo kumbe ndani kuna moto ambao unawaka ni vizuri kuwa wazi na kusema ndio pamoja na kuwa nampenda mke wangu lakini saa zingine anakuwa na tabia za ajabu ambazo hazieleweki ili naye akae akijua kuwa kuna wakati anakuwa hayuko sawa.
   
 18. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh....! Hii ina ukali wake....! Kwangu mimi nadhani karibu kila mtu ana jibu langu! I would wish that I can rewind our life and then making corrections....!
   
 19. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #19
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli tupu mkuu Bigbro, kuna mengi yanafichikana ndani ya ndoa zetu lakini tunaishi kwa mazoea tu hakuna mapenzi kama kipindi kile cha uchumba.
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ni tajibu " What do you think/feel" jibu atapata akijibu swali hilo:becky::becky::becky:
   
Loading...