Alishaolewa lakini anazidi kunitaka nimkwepeje?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!
 
Acha ujinga ww mpige pumbu huyo tumia fursa kaka......
 
si ni ili akuache tu?? akikutext usijibu chochote,akipiga pokea mtell huna salio,yani wewe jifanye maskini kuanzia ss,we unakuwa kisingizio chako sina crdt,akiendelea anza kumwomba hella ndefu ili asepe,mfano 70,100,-200,ukiona haitoshi mwonyeshe una demu, itamwuzi ataachia ngazi,zaidi subir jamaa wanakuja wataongezea!
 
unachotaka kuambiwa uendelee nae wala hakuna kingine, maana kwa mwenye akili hashindwi sababu
 
Mtu ambae huwa anaomba ushauri jinsi ya kimkwepa mtu
mi huwa naona ni sanifu tu, nyuma ya keyboard unabandua zako
mi nakushauri endelea kumbandua....
 
Dear upo?unashambulia kwa kasi aisee
 
Alikuwa mpenzi wangu zamani kwa sasa ameshaolewa lakini anazidi kunifuatilia ili tuendelee kimahusiano, mimi sitaki lakini anaendelea kunipigia simu na sms akinambia share yangu bado ipo kwake. Imefikia hatua ananitext hadi usiku nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo wakati ana mume ananijibu ameona mumewe naye anachat na watu. Nifanyeje kuepukana naye? Amekuwa ni king'ang'anizi!
Unless kama unamtaka lakini swala ni moja tu KEEP QUITE BASI
 
si ni ili akuache tu?? akikutext usijibu chochote,akipiga pokea mtell huna salio,yani wewe jifanye maskini kuanzia ss,we unakuwa kisingizio chako sina crdt,akiendelea anza kumwomba hella ndefu ili asepe,mfano 70,100,-200,ukiona haitoshi mwonyeshe una demu, itamwuzi ataachia ngazi,zaidi subir jamaa wanakuja wataongezea!

aiseee, ukifanya hayo juu na akaendelea kukufata basi jua anakutegea mtego yeye na mumewe na siyo kuwa anashida na wewe. Hahahahhahahaha
 
adhabu ya kutembea na mke wa mtu waijua?
 
Mtu ambae huwa anaomba ushauri jinsi ya kimkwepa mtu
mi huwa naona ni sanifu tu, nyuma ya keyboard unabandua zako
mi nakushauri endelea kumbandua....

Isije ikawa ndie wewe huu ushauri mmmhhh!
 
Tumia fursa hiyo...!! Gegeda tu nzi kufia kwenye kidonda ni halali yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom