"Small House" inapokuwa Nyumba kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Small House" inapokuwa Nyumba kubwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 15, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Haya yametokea.. yalianza kwa huduma kwa nyumba ndogo na miaka ilipopita nyumba ndogo ikapanda cheo na kuanza kuwa nyumba kubwa..

  Habari ndiyo hiyo.. sasa sijui kama ni fahari au aibu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,229
  Trophy Points: 280
  Dhambi.
  Na huyo ambaye sasa amekuwa nyumba kubwa ajue kuwa kuna nyumba kubwa nyingine yaja.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na wewe kwa hiyo nyumba kubwa ikapigwa chini nyumba ndogo ikapanda cheo?
   
 4. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ni fahari kwa aliyepanda cheo na ni aibu kwa aliyeshushwa pengine kwa makosa yake mwenyewe na kujifanya kichwa ngumu wakati wenzie pia wanahitaji hiyo nafasi halo.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Dah Sophy kumbuka ule msemo wa Muosha huoshwa haya!
   
 6. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh! hii ni hatari, itamlazimu huyo nyumba kubwaaliyopandishwa cheo awe makini, usikute jamaa ana sites kibao, anataka kushusha bangalow,nae asiwe na chake tena.
   
 7. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndiyo hivyo hakuna kosa lisilokuwa na matokeo. Mtu unamdharau mumeo unamuona hana maana kumbe wenzio wana shida wanamtamani unatarajia nini. Na huyo aliyekuwa na shida hivyo akimpata wa kumliwaza hamwachii ng'o, yani atamtunza kama lulu harudi tena alikokuwa kwenye madharau.
   
 8. MasterMind

  MasterMind Senior Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahah.......
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  There is something here I am meant to understand!
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  dada sophy akili yako inakutosha mwenyewe.
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jamani binadamu ni huru, ukiona huku hakwendi nenda unapojiSIkia. Maisha nipopote ishi kwa furaha maisha nihistoria kila mtu anayo yake. Hapa hakuna kosa hata moja maisha mema ndugu
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  unajua kuna wakati mtu hutakiwi kulazimisia mambo maishani, unayaanza tu kama yalivyo, ndio kama hapa ni kumuacha tu huyo baba aanze maisha yake upya, lakini wanaume jaamni, mie nasemaga mtu akipata mwanaume wa kumburuza na amburuze haswaaaa..
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  jamani mbona kidude cha thhx sikioni au macho yangu, cjui leo hii kitu imekuwaje, well said NATA.
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280

  Mimi hii kitu imekaa KISIASA zaidi labda atufafanulie,,,,lakini kwa hapa bado its kind of hanging ngoja aje MMM atuambie ana maana gani....given the current political situation....
   
 15. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ulivyoweka hii, nimekumbuka habari za mahimbo, alikuwa nyumba kubwa na sasa Dr. ni nyumba kubwa, yeye amekuwa ndogo tena nyumba ya nyasi.
   
 16. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...na hao hawapatikani kamwe.....wakipatikani mitarimbo yao huwa inalala dorooooo....!
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280

  hahaha Mrs...kipo likizo, ukiona ivo we refresh tu kitatokea.....si naona leo msuko mwingine wa JF, sijui ndo yebo yebo ama twende kilioni? au haya mabutu?
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280

  Alahu wakbar....mpwa umeamkia gesti gani leo tena?:confused2:
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  naona leo kuna Kwikwi mie nikajua ni kwangu tu ndio naoana maluweluwe kumbe ni kote
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha Da Sophy at work!:welcome:
   
Loading...