Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapo zamani za kale aliishi mvuvi masikini ambaye kwa jina aliitwa Majuto. Majuto aliishi kwenye kijiji kidogo pembeni mwa ziwa dogo pamoja na familia yake. Kwa miaka mingi sana watu wa kijiji...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Bila kuangali mliachana kwasababu gani, unawezaje kujua bado anakupenda ata kama tayari ana mahusiano na mtu mwingine?au kuna uwezekano wa nyie kurudiana? Au hakuna kabisa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenyu mabibi na mabwana, Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu. Sasa...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
Habari wapendwa! Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Hii ni story ya kweli na imenikuta mwenyewe. Ushauri tafadhali. Ni mwezi wa sita sasa tangu haya yanikute. Jamani mchepuko mbaya sana bakini njia kuu...
0 Reactions
148 Replies
16K Views
habari za Leo wakuu bila kusema mengi nikwamba penzi languu lililo kua Lina Tapa Tapa kama mfamaji hatima yake lime rest in peace inani pain sanaa lakini jinsi sinaa nifanye nini jamani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii nimekutana nayo mahali na ni nyumba ambayo inaishi wapangaji, sina uhakika kama ni miswaki ya familia moja. Namna hii ya kuhifadhi miswaki imenifikirisha kidogo. Tunaambiwa kwamba maradhi kama...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii tabia ya kumchangia mtu ambaye kimsingi hajakurupushwa ni matakwa yake binafsi michango eti anataka kuoa au kuolewa ni sahihi?mtu mmoja unapewa kadi za uanakamati zaid ya saba na kila kamat...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana. Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda. Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu. Ngoja...
0 Reactions
116 Replies
16K Views
Wanajf nimekuja kutoa mrejesho wa kilichonikuta jana la kukutwa na condom mfukoni wakati wife anafua nguo zangu. Nimeamua kuleta feedback hii kwa sababu nilileta hapa ombi la ushauri wenu hapa...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form 4 na kuendelea,ni PM. Mimi Ni mrefu,maji ya kunde,si mnene,form six.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwamara ya kwanza tulikutana Zebra bar (TEMEKE mwisho) nilipokwenda kwenye muwaliko wa chakula cha mchana nilio alikwa na mpenzi wangu SAVIANA ambae yeye ni shoga yake mkubwa. Baada ya maongezi...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza, ukichepuka ukamsaliti mpenzi wako hata kama unajua kuwa unayechupuka naye anamahusiano mengine wala haikuumi wala kujisikia vibaya kuchangia mpenzi. Inashangaza sana pale...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za Jumapili wana jamvi. Natumai mtakuwa mnafahamu kilichompata dada Vicky Kamata baada ya ndoa yake kuota mbawa masaa machache kabla ya kula kiapo. Naomba tumchukulie kama mwanamke...
4 Reactions
508 Replies
59K Views
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Wanajamvi, Kuna haka katabia nimekutana nako mara nyingi kwenye mazingira yangu ya kazi ambapo mtu anakuja akiwa mkali sana kwamba haoni pesa zake kwenye akaunti zimepungua,ukimuhoji kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani kwenu wana jf, Naombeni msana wa ushauri, nina mpenzi wangu tumekua katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Sema ukweli kwanini unampenda huyo ulienaye, Je pale anapokuuliza kwa nini unanipenda mpenzi wangu,huwa unamjibu sababu za kweli au huwa unaigiza kuongea yale unayohisi ukitamka yatamfurahisha?
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Tumesikia mara nyingi sana visa vya wanaume kuwaacha wanawake kwa dharau na vijembe vingi, halafu baada ya muda mfupi, anarudi huku anapiga magoti kuomba msamaha. Hili halipo kwa wanaume tu hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…