Mwanamke asiye kuwa na uke

junior mzolo

Senior Member
Jan 26, 2014
140
0
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi kutokana na uzuri wa yule mwanamke ,,,,na wanaume wasivyokuwa na dogo walianza kumfatilia lakini wote alikuwa akiwakataa, ,,,,basi akatokea kijana mmoja tajiri akaanza kumfatilia lakini yule binti alikuwa akimkatilia lakini kijana alikomaa kwa muda mrefu sana hadi yule binti akaona amkubalie,, basi watu wote walishangaa sana kuona jamaa kakubaliwa na yule msichana mrembo, ,,,basi jamaa akatoa mahali na kila kitu kinachotakiwa na kufunga ndoa na yule binti basi wapendanao hao wakaenda kwao na kuanza kufanya mambo yao cha kushangazaa kumbe yule mwanamke alikuwa ana k**ma bali alikuwa na ka tundu tu kadogo ka kukojelea, ,,,,je, ,we umejifunza nini?
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,731
2,000
.......
 
Attachments

  • image.jpg
    File size
    33.8 KB
    Views
    735

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi kutokana na uzuri wa yule mwanamke ,,,,na wanaume wasivyokuwa na dogo walianza kumfatilia lakini wote alikuwa akiwakataa, ,,,,basi akatokea kijana mmoja tajiri akaanza kumfatilia lakini yule binti alikuwa akimkatilia lakini kijana alikomaa kwa muda mrefu sana hadi yule binti akaona amkubalie,, basi watu wote walishangaa sana kuona jamaa kakubaliwa na yule msichana mrembo, ,,,basi jamaa akatoa mahali na kila kitu kinachotakiwa na kufunga ndoa na yule binti basi wapendanao hao wakaenda kwao na kuanza kufanya mambo yao cha kushangazaa kumbe yule mwanamke alikuwa ana k**ma bali alikuwa na ka tundu tu kadogo ka kukojelea, ,,,,je, ,we umejifunza nini?

Bwana mdogo nikurekebishe......sema binadamu asiyekua na jinsia......kama ana uke hawezi itwa mwanamke.......uke ndio unamfanya aitwe mwanamke. Mitiani vipi mshamaliza
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
6,349

Hata wewe umechemka. Ktk mwili wa mwanamke hakuna uke, bali kuna UPAPA, ama unaweza tumia majina mengine uliyo yazaoa.
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
6,349
2,000
Wanawake dizine hiyo nikweli wapo, hata huku mtaani kwetu yupo mama mmoja inaesemekana anatatizo kama la huyo huyo binti aliye kwenye hiyo story yako. Ispokua sio kweli kua hawana huo uliouita uke (UPAPA) hapana, Upapa wanakua nao, ispokua huwa hawavunji ungo (kubalegh) hivyo hukosa kile kishimo cha stareh, badalayake hubaki na kishimo cha kutolea maji taka tu (mkojo).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom