Msaada jamamani wana MMU

ZUKUDE

Member
Apr 28, 2014
10
0
Amani kwenu wana jf,

Naombeni msana wa ushauri, nina mpenzi wangu tumekua katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakini mpenzi wangu huyo yaani mke wangu mtarajiwa ananizid umri ana 28 nami nina 27 .

Je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?
 

Ven26

Member
Jan 28, 2014
62
95
aman kwenu wana jf, naomben msana wa ushaur, nna mpenz wangu tumekua katika uhusiano kwa mda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakin mpenz wangu huyo yan mke wangu mtalajiwa ananizid umli ana 28 nami nina 27 . je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?

wewe katika huo muda mrefu mliokuwa pamoja kuna tatizo umeliona linalotokana na mkeo mtarajiwa kukuzidi umri?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom