I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari zenyu mabibi na mabwana,

Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana.

Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni.

Kasinde mue nikampa what my mama gave me! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni.

Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie.

On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu.

Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima.

Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla.

Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.?

Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.

Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu?
 
Ndio yule jamaa mwenye kibamia au huyu ni mwingine tena???

Hongera kwa kumfanya apige miruzi..

Siku nyingine mfanye akupigie saluti kabisa..!!
 
Mie baba yangu hakuwa niambia kuwa nikipewa mzigo heavy na kuridhika, asubuhi niamkapo niungurumishe miluzi...lol
 
mhhhhhh Kasinde olewa bhana uwe unatupa na crash tam tam za ndoani
 
Last edited by a moderator:
Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana. Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni. Kasinde mue nikampa what my mama gave me!! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni. Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie. On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu. Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima. Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla. Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.????
Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.
Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu??

Error loading..........
Inaonekana imesuguriwa kwelikweli!
 
mhhhhhh Kasinde olewa bhana uwe unatupa na crash tam tam za ndoani
 
Last edited by a moderator:
Usiijiingize kichwa kichwa mwenyewe wewe mtoto wa kike.

Papara hazina maana endelea kufanya utafiti huku ukiwa bado upo upo kwanza
 
uyoo mwanaume nae hana mawazo mtambuka. demu unakutana nae siku moja unaanza kupanga kuoa shameeeeee
 
mnyamwezi wa ukweli umempa raha jamaa mpaka kapagawa...sasa angalia usije legeza kamba...ongeza zaidi maujanja
 
Juzi juzi Kasinde si umetoka kupigwa katerero na kibamia? Leo unaye mwingine?
Mhh Mwanamke hajisifii kuwapanga wanaume bana
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sio crash ya mwisho,bado hujacrash na mimi, tukishacrash sasa unaruhusiwa kutafta crash ya mwisho.
 
Juzi juzi Kasinde si umetoka kupigwa katerero na kibamia? Leo unaye mwingine?
Mhh Mwanamke hajisifii kuwapanga wanaume bana

Biashara matangazo mkuu,wamechoka kujianika usiku kwenye barid.mods wawafungulie jukwaa la danguro tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom