Kabla hujamwacha aende, ushauri kwa wanaume wenzangu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,332
2,000
Tumesikia mara nyingi sana visa vya wanaume kuwaacha wanawake kwa dharau na vijembe vingi, halafu baada ya muda mfupi, anarudi huku anapiga magoti kuomba msamaha. Hili halipo kwa wanaume tu hata kwa wanawake lipo, lakini sitaongelea upande wa wenzetu,[Women and children can afford to be careless, but not men - Don Corleone]

Ni jambo la fadhaa sana kwa mwanaume kumwacha mwanamke kwa vijembe na matusi halafu wiki mbili baadae unarudi na kuanza kupiga magoti. Hata kama alikuwa anakuheshimu mwanzoni, heshima yake kwako lazima itashuka, badala ya wewe kuwa kichwa, utageuka kuwa mkia. Huna maamuzi, hujiamini na zaidi "huwezi kuishi bila yeye", definitely she will have the upper hand.

So ushauri mdogo tu, moja kama huna uhakika na uzito wa maamuzi unayoenda kufanya, kuhusu mahusiano ni bora usiyafanye na mbili as a man, uwe tayari kuzikabili changamoto za maamuzi yako, be ready to face consequences of your decisions, whether they are bad or good. Ukiamua kumwacha mwanamke usirudi nyuma, hata kama ulikosea.

Women and children can afford to be careless, but not men - Don Corleone
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Ukiamua kumuacha mwanamke usirudi nyuma,HATA KAMA ULIKOSEA....???
Mhhhh ego too big u guys...ina maana u dont feel anything?ur lack of 'sorry' may deprive u of the woman who loves u more than anything...
 
Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
hahaaaa kwangu mimi ukiacha usidhan ukirud na magot chance ipo tenaaa...
Ni ujinga sana unaleta kashfa hujui unawaalika wenzio wakafaidi mema ya nchi.Baadae unalalama rafiki kakubebea dem wako wakati mjnga ni wewe
 
Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
1,225
ushauri mgumu kumesa,hii ni kitchen party au relationship party?????
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,332
2,000
Ukiamua kumuacha mwanamke usirudi nyuma,HATA KAMA ULIKOSEA....???
Mhhhh ego too big u guys...ina maana u dont feel anything?ur lack of 'sorry' may deprive u of the woman who loves u more than anything...

Me sina tatizo na samahani, huwa nazisema sana. Kinachonikera ni dharau na matusi na kejeli ambazo watu huwa wanakuwa nazo. It shows carelessness levels za hali ya juu sana. Kurudi nyuma sio tatizo, tatizo ni uliondokaje?

For instance, a woman leaves me for another man, na matusi akanitukana. Can I get back with her, I dont see the possibility. Kama uliniona sifai sasa hivi, usirudi tena.

My main point is, kabla hujaamua fikiria sana, make sure unafanya maamuzi sahihi kweli kweli
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,025
2,000
Dunia ina mengi. WANAUME wenye vijembe kwa wanawake? Anapiga na magoti kabisa kuomba msamaha... Sijui nani amewaloga hawa watu. Mwanamme na kupiga watu vijembe.. wapi na wapi..Mwanaume na kumwomba mwanamke kwa magoti mmeitoa wapi hio enyi wana? ''...Na kwa sababu hio, Mwanaume atakutawala'' mwenye ufahamu na afahamu.

Tumesikia mara nyingi sana visa vya wanaume kuwaacha wanawake kwa dharau na vijembe vingi, halafu baada ya muda mfupi, anarudi huku anapiga magoti kuomba msamaha. Hili halipo kwa wanaume tu hata kwa wanawake lipo, lakini sitaongelea upande wa wenzetu,[Women and children can afford to be careless, but not men - Don Corleone]

Women and children can afford to be careless, but not men - Don Corleone
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,332
2,000
Dunia ina mengi. WANAUME wenye vijembe kwa wanawake? Anapiga na magoti kabisa kuomba msamaha... Sijui nani amewaloga hawa watu. Mwanamme na kupiga watu vijembe.. wapi na wapi..Mwanaume na kumwomba mwanamke kwa magoti mmeitoa wapi hio enyi wana? ''...Na kwa sababu hio, Mwanaume atakutawala'' mwenye ufahamu na afahamu.

Kuna jamaa yangu ashawahi kumwambia mpenzi wake, to quote his exact words "Kwani wanaume wameisha duniani, lazima uwe na mimi tu." Siku yule binti alivyoachana nae, jamaa alienda mpaka kwa baba mchungaji kuomba suluhu, then nikajiuliza wakati anasema yale maneno alikuwa amekunywa pombe gani?
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,025
2,000
Mkuu kuna wakati tunashindwa kuona uzuri na wema wa mtu kwa kuwa tumemzoea tu. ila akiondoka ndio ufahamu wako unafunguka na kuona yale mema na ule uzuri wake. ila wakati uko nae ulikua unaona ule ubaya au ule udhaifu wake tu.

Tunapaswa kujivunia vile vichache vizuri walivyonavyo wale wanaotuzunguka, na tuzidi kuboreshana kwa yale yaliyo mabaya.

Kuna mtu amewahi sema, "Once we get something we forget that it was once something we were dying to have and then want something else"
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,031
2,000
=>...haaaa...one sided advice....WANANDOA au Wapenzi WANAACHANA NA KURUDIANA HATA MARA 1000...UTAMU NI WA WAWILI BANA...MENGINE STORIES TU...AS LONG AS ON BED WOTE WANALIAAA NA KUPAGAWA ON BED...HAO WAPENZI AU WANANDOA WANAWEZA KURUDIANA HATA MARA KADHAA...ni si mtu mwingine kuwaongelea...msamaha nani asiyeomba
!!? Mapenzi ni zaidi ya uonavyo kwa nje....ni wawili 2 ndio maamuzi yao...!!!
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,025
2,000
You are very right. Thank you.
Our challenge now..... NOT TO FORGET THE GOOD THINGS.
Kuna mtu amewahi sema, "Once we get something we forget that it was once something we were dying to have and then want something else"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom