How do you know he/she still loves you or not?

symwo

Senior Member
Jan 15, 2014
152
195
Bila kuangali mliachana kwasababu gani, unawezaje kujua bado anakupenda ata kama tayari ana mahusiano na mtu mwingine?au kuna uwezekano wa nyie kurudiana? Au hakuna kabisa?
 

JJ10

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
282
0
Au? Au? Ukiachana na mtu tema mate chini' kamwe usigeuke hata hizo au au hautakuwanazo!! Ukiona unajiulizauliza ujue upo mguu ndani, mguu nje' yaani staki nataka...
 

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
yani nikuache/uniache af nikae nakufukiria .. .nitakuwa nimerogwa...nakusahau kama hukuwahi kuishi duniani
 

Ven26

Member
Jan 28, 2014
62
95
Kwanini uwe na tabia ya kutaka kula matapishi??? Ukiacha, acha n never look back....eboo
 

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
27,187
2,000
Jf bwana!!!! Watu wanalana kila uchao, wanaachana na kulana...possibly hata humu wako wengi tu, lakini kila anayeulizwa...mmmmh!
 

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,351
2,000
Bila kuangali mliachana kwasababu gani, unawezaje kujua bado anakupenda ata kama tayari ana mahusiano na mtu mwingine?au kuna uwezekano wa nyie kurudiana? Au hakuna kabisa?

Well our dearest friend and member symwo,
I guess kutokana na majibu ya wengine umejifunza jambo...i.e. let bygones be bygones.

Najua some of us tumekujibu kikejeli zaidi but I know jibu la kila mmoja limekuwa na mwelekeo uleule. Haimaanishi hatujawahi kuachana au kuacha na kutamani kurudiana. Heck, wengine wetu tulishawahi kuachwa tukalia na machozi ili turudiane.

Kuna nyakati nilimwacha shemeji/wifi yako mmoja hivi na baada ya muda nikaumwa, literally, so i had to go back begging her back.

In every breakup kama at least kulikuwa na a bit of love..utajihisi upweke. Utatamani kuwa kama zamani. Utajidanganya kuwa u can overlook the faults and move on.

But most of those make ups lead to a more hurting breakup.

I agree there are always exceptions to the general rule. Ila kwa hili u v got to be extra cautious. Lazima ujitafakari sana. Jipe muda wa kuwaza ujue kama ni upweke tu au ni kweli unampenda huyo mtu. Je anajihisi vivyo kwako?!

Na unapoamua kum-confront huyo mtu inabidi uwe na sound mind. Muongee (sio kubishana au kulalamika) have a meaningful lengthy talk...ndipo mkubaliane kuhusu hilo.

Nonetheless, it really hurts being alone. It really hurts kuachwa/kuachana/kuacha na mtu umpendaye. Utatamani mrudiane but dont always heed to that.

My mentor always says, "Let go to get more."
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom