Nisaidieni data nimalizie utafiti wangu

Nisaidieni data nimalizie utafiti wangu

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Nimekuwa nikijiuliza, ukichepuka ukamsaliti mpenzi wako hata kama unajua kuwa unayechupuka naye anamahusiano mengine wala haikuumi wala kujisikia vibaya kuchangia mpenzi.

Inashangaza sana pale unaposikia au kugundua mpenzi wako kachepuka, roho inakuuma na unaona ni jambo la ajabu sana kuchangia mpezi.

Cha kujiuliza ni kwamba mbona ukichepuka husikii uchungu wa kuchangia mpenzi hata kama unachepuka na changudoa?

Nipeni data wandugu.
 
Wanaume wenzio/michepuko wana majbu, hahahahha wanaume n viumbe wa ajab sana hua mnaona ww kuchepuka n haki yalo ila sio mwenza wako kuchepuka unaona n kosa la jinai
 
simply ni hivi ukichepuka unatumia barabara ya mwenzio, na ukichepukiwa barabara yako inatumika sasa basi ukikutana na rough rider inawezekana hata barabara yenyewe ukaikuta inahitaji magufuli aje afanye ujenzi tena tena kwa kiwango cha lami upya (imetifuliwatifuliwa) i.e unaweza bambikiwa hadi mtoto
 
Wanaume wenzio/michepuko wana majbu, hahahahha wanaume n viumbe wa ajab sana hua mnaona ww kuchepuka n haki yalo ila sio mwenza wako kuchepuka unaona n kosa la jinai
kwani wanawake wakigundua mpz wake kachepuka hawaumii? je wao wakichepuka hata kama anajua anachepuka na mme wa mtu wanajisikia vibaya kuchangia mwanaume?
 
simply ni hivi ukichepuka unatumia barabara ya mwenzio, na ukichepukiwa barabara yako inatumika sasa basi ukikutana na rough rider inawezekana hata barabara yenyewe ukaikuta inahitaji magufuli aje afanye ujenzi tena tena kwa kiwango cha lami upya (imetifuliwatifuliwa) i.e unaweza bambikiwa hadi mtoto

anhaa kumbe hofu ni kuwa mtu wako anakuwa kaharibiwa? je akikutana na mstaarabu anayefanya kwa kujali hutaumia?
 
Mapenzi ni kama mashindano ya riadha raha ni kuwakuta wengine ila ukikutwa wewe sasa!!!!!!!!
 
mkuki kwa mchungu kwa binadamu nguruwe
yote sawa
 
Back
Top Bottom