Kwanini unampenda mpenzi ulienaye?

Kwanini unampenda mpenzi ulienaye?

malinda

Senior Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
196
Reaction score
32
Sema ukweli kwanini unampenda huyo ulienaye, Je pale anapokuuliza kwa nini unanipenda mpenzi wangu,huwa unamjibu sababu za kweli au huwa unaigiza kuongea yale unayohisi ukitamka yatamfurahisha?
 
Sema ukweli kwa nini uampenda huyo ulienaye,je pale anapokuuliza kwa nini unanipenda mpenzi wangu,uwa unamjibu sababu za keli au uwa unaigiza kuongea yale unayohisi ukitamka yatamfurahisha?o

Ukishajua itakuaje?
 
Mi nampenda kwa sababu ni mshkaji wangu. We can talk, laugh, cry and suffer together. Tunabishana, tunataniana, tunapigana mzinga (huu mzinga niliomdungua wa krismas lazma akamsimulie mamake hehehe), tunaelekezana na kufundishana. Yaani ni sababu kibao, kama za kunywa coca cola baridaaa.
 
Kuna watu wanapenda kudanganywa, nashukuru umebeba jukumu hilo zito la kumdanganya huyu ndugu yetu....ila kwa kuwa anafikiria kwa kutumia Medula Oblongata hakika atasema amina, na kwa upole atachia tabasamu bana kuonesha kafurahia jibu lako.
 
hayo maswali ya zaman saiv hatuulizan vitendo tu vitaashiria kuna upendo ama hakuna
 
Nampenda sababu anajua kuhonga na yeye anatambua hilo
 
Mi simjibu chochote Kwani nilimpenda ndio maana Niko naye, Leo kwanini aniulize kwanini nampenda si unafiki huo?
 
Mimi namdanganya uzuri maana kama hataki kudanganywa wala asingeuliza
 
Back
Top Bottom