Natafuta msichana wa kumuoa

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
551
195
Habari zenu wadau.
Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Habari zenu wadau.
Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.

Mkuu unataka wa kuowa mpaka asubuhi?? Alafu mkuu wewe una 30 na unataka mwanamke wa 30 sasa si atazeeka atakuacha kijana??
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
Uuuuuwi baba unataka umiliki mwenyewe
Raha sana kuwa na garage yako
Best wishes
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Habari zenu wadau.
Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.

Alafu mkuu miaka 30 sio kijana,Sema mimi ni mzee wa kati wa miaka 30 natafuta binti wa miaka 23 mpaka dada mzee wa kati wa miaka 30.alafu mkuu mwanamke wa miaka 30 atakuwa kapitiwa na wanaume kama 500 hivi,mkuu una moyo ila jitahidi.
 
Jean piaget

Senior Member
Mar 15, 2014
143
0
Mkuu hawa mabint wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa humu jf ni soft copy style while wakisha fika mtaani wanakua hard copy style. Chukua tu ulionao hapo
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Mkuu hawa mabint wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa humu jf ni soft copy style while wakisha fika mtaani wanakua hard copy style. Chukua tu ulionao hapo

Mkuu umemsaidia mwanamme mwenzetu kwa ushauri mzuri sana.anadhani wa humu wana hela,hajui kama ni choka mbaya.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
Ook. Kuna msichana mmoja kapotea na nimesikia anatafutwa. Kumbe wewe ndio unamtafuta? Nenda hapo kituo cha polisi na ile RB yako utamkuta. Ulizia dawati la jinsia.
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Kama kufanikiwa ni kwako bora nikae tu nisifanikiwe...

Sawa ila hata ukienda kwa waganga 10 watakwambia mbona unakimbia bahati? watakwambia uje kwangu mbio,naamini siku utakuja tu,tena utaongea mengi tu na sitakuacha bila 3 moja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom