Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua!
Kumekuwa na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls.
Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli...
Dear Women
First of all, I', a man!
And by far I am not coming from an angle where I can claim to understand you.
That, in fact is why I'm writing this: I want to understand you,
Cause, from my...
hellow guys, poleni na mihangaiko ya hapa na pale, kuna tetesi nimesikia kuhusiana na heading hapo juu kwa wadada , je ni kweli ukichanganya hivyo vitu na kupaka ngozi inakua laini na nyororo...
Mambo vipi wana mahusiano?
Kuna swali moja gumu kweli nimekutana nalo. Jama ana mpenzi ambaye amebakwa na baba yake kwa miaka miatano mfululizo! Demu alikuwa hajarevil kwa jamaa kwa muda mrefu...
Habari zenu wanajamii forum,Hivi KIUKWELI UNAWEZA UKAPENDA BILA KUTAMANI?????????Maana hii kitu imenisumbua sana akili kwamba unampenda tu binti ila nijuavyo mm unamtamani kwanza unapomuona mara...
Naamini mwanamke awaye yeyote ambaye bado anaziona siku zake anajua maumivu ya tumbo, hisia na msongo wa mawazo anaopitia wakati anapokuwa kwenye siku zake. wako wengine hulazimika kulala...
Ladies do you know why most foreigners (men) wanadata kwenye mpenzi nanyie.
Ukweli ndo huu from experience,wengi wenu niwasafi,so far for east and southern Africa countries nimeishi hakuna...
Unakuta mtu ana wafanyakazi wa ndani yani (House girls) wawili na watoto wake. Anatoka nao kwenda kwenye mgahawa kupata chakula na kinywaji kidogo!
Kwanza anapofika ktk mgahawa haongozani na hao...
Habari wana MMU.
Kwa wenye uzoefu au ufaham wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na gharama za ndoa ya kanisani.
Ndoa ipi ni ya gharama nafuu zaidi kati ya hizo mbili? mchanganuo...
Dunia hii ina mengi sana, mengine ukiambiwa utadhani ni simulizi lakini huu ndio ukweli wenyewe. Jambo limetokea yapata mwaka sasa leo nimeona si vibaya niki-share nanyi.
Nikiwa naishi eneo...
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 years old na son 3years old alizaa na wanawake tofauti..Hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja...
Mawazo kama haya yanatisha. Get a house helper hiyo sio kazi ya mke kufanya yeye kwa nyingi ya hizo. She is your better half. Huwezi kumfanyia hivyo dadangu wala mwanangu moto usiwake.
Hili ni jambo muhimu sana katika maisha. Usimuachie mtu mwingine majukumu yako kwani kwa kufanya hivyo unampa pamoja na uhuru wako. Uhuru wako umo ndani ya majukumu yako, uhuru ni matokeo ya...
Kuna rafiki yangu alifiwa na baba ake toka akiwa standard 2.
Walikuwa wawili tu katika family yeye na mdogo wake mama yao alijitahidi sana kuwalea pasipo na ushirikiano kwa upande wa baba yake...
Nilimuaga mke wangu Ijumaa asubuhi kuwa naenda Dar.
Safari hii alikuwa anaifahamu siku tatu kabla kuwa naufuata mzigo wa biashara! Usiku kabla hatujalala aliniandalia nguo za kuvaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.