Huu ni unyanyasaji wa jinsia za kichaga hasa ya kike

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,917
2,000
Habari zenu ...

Yaani wiki haishi wachaga tunanyanyaswa hatujui mapenzi ..

wewe umechukua hatua gani ya kutufundisha ...

Mnataka tufanyaje sasa hapa naomba mtufunde nyie mnaojiona mnayajua mapenzi....

oooh tunalala kama gogo. ooh anafungua papuchi anaweka hapo hata romance hataki.......

oooh miguu membamba ....

oooh sijui tunamanyonyo makubwa ......

oooh tunaweka pesa mbele nitafurahiaje gegedo lako wakati sina hela pochi inalia njaaa...

mapenzi yanahitaji akili itulie na si kuwa na mawazo ...

kama na vimatatizo vidogo dogo tafuta suluuu na ndiyo tuendelea....

Aiiiiiiii mmechefua roho yangu..

Kwa kweli huu ni unyanyasaji wa kijinsia mkiendelea naenda washtaki .. kama sijui nifundishe....

ANGALIZO: MAPENZI NA NJAA HAPA HAKUNA...... HAPA MPANGO MZIMA NIPE NIKUPE....
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,075
2,000
habari zenu ...

yani wiki haishi wachaga tunanyanyaswa hatujui mapenzi .. wewe umechukua hatua gani ya kutufundisha ... mnataka tufanyaje sasa hapa naomba mtufunde nyie mnaojiona mnayajua mapenzi....

oooh tunalala kama gogo. ooh anafungua papuchi anaweka hapo hata romance hataki....... oooh miguu membamba .... oooh sijui tunamanyonyo makubwa ...... oooh tunaweka pesa mbele nitafurahiaje gegedo lako wakati sina hela pochi inalia njaaa... mapenzi yanahitaji akili itulie na si kuwa na mawazo ... kama na vimatatizo vidogo dogo tafuta suluuu na ndiyo tuendelea.... aiiiiiiii mmechefua roho yangu..

kwa kweli huu ni unyanyasaji wa kijinsia mkiendelea naenda washtaki .. kama sijui nifundishe....

ANGALIZO: MAPENZI NA NJAA HAPA HAKUNA...... HAPA MPANGO MZIMA NIPE NIKUPE....

'kwa hiyo ni biashara kwani...?'
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,917
2,000
'kwa hiyo mnatumia miili yenu kuondoa njaa kwenye mapenzi kwa kujipatia pesa au.....?'

hatumiii ila kama umekutana na mtu mwenye shida timiza shida zake na we utimizewe zako.... mapenzi yanahitaji akili nyingi
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,587
2,000
wala ucjali miss chagga mtani wangu chunguza kwa makini wengi wanapost kwa hasira baada ya kupigwa kibuti, wengine out of fun, wengine wamesikia tu kwa watu, na most of them hawajawahi kudate mchagga u know y? vigoli wa kikwenu wanahitaji viwango, so wanaogopeka-maoni yangu binafsi na mtazamo wangu pia na xperience!!!
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,075
2,000
toka huko

'taratibu mama ustoke povu calm down please..................unapotimiziwa haja na wee si una feelings za mapenzi sasa kama unatumia mwili kuondoa njaa it means a business mwaya,halaf pia mtu anapolipa hela yake anategemea good service sasa kama service ni mbofu na hela amelipa asiseme mwaya'
 

zegebovu1

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
414
250
Tena nasema wawaaacheni dada zangu kama vipi wanawake hawapo wachaga tu kama wapo kama magogo, au miguu membamba watuachieni dada zetu tutawawowa wenyewe wao waende kwa mamakonde, wapogoro, wasandawe, wamasai nakadhalika makabila yapo mengi siyo lazima warembo wa kichaga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom