Hivi nyie huwa hamridhiki msipodanganywa?
Lawama nyingi zinawaendea wanaume kuwa wanaongoza kwa kuwa waongo, especialy wakati wanapotongoza, utatamani umwone na pamba kali (wengine wanaazima)...
Habari kwenu,
Ni suala la msingi sana kwa wanandoa.
Kuna wengine wanahisi walipotea, kuna wengine wanshukuru kupata mwenzi waliye nae, wengine wanajuta, etc.
Je wewe mwenzi wako anakupa...
Asalaam alaykum wanajamvi,
Ni mara yangu ya kwanza kushiriki kwa namna ya kutuma post mpya, nimekuwa nikishiriki kwa kusoma tu post za wanajf wengine, lkn sasa msaada wenu wa kimawazo unaweza...
Hili ni kosa ambalo wengi hufanya na kujikuta wakipoteza wapenzi wao kwa kuchukuliwa na rafiki baada ya kudhani baada ya kumshirikisha angesaidia kumbe kinyume chake anatumia mwanya wa matatizo...
Habari wadau.
Mbarikiwe sana.
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia.
Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni...
Kama unashidwa kujikimu wewe mwenyewe kipesa, je utawezaje kuanza maisha kama mume na kuanzisha familia mpya? Kijana unawezaje fikiri ni rahisi kuwa na mahusiano ukiwa katika hali hiyo, zaidi ya...
Habari wadau.
Mbarikiwe sana.
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia.
Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni...
Sijui nina tatizo gani!... miaka michache iliyopita niliona wasichana na wanawake kama dada zangu na ndugu zangu hata awe mkali vipi... lakini kwa sasa naona Wasichana/wanawake karibia wote...
ijumaa tamu kama hii walahi ATM inacheka!!
kwa sie tulio na madeni ni wakati wa kusay 'hello to the world'....pata kitu rooo inataka sikia...lainisha koo;tumbo lipate ile kitu masai...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo...
Anaitwa Najenjwa Elibariki alihitim mwaka jana CBE kwa mara ya mwisho tulionana morogoro yeye akiwa field TRA.... Kama unasoma ujumbe huu au mtu yeyote anayemfaham dada huyu naomba tuwasiliane. Aje Pm
Wadau JF, swala la kupenda au kupendwa linatia faraja kubwa sana katika mbio hizi za maisha..
Mimi huwa nasikia tu, jamaa anapendana huyu na mkewe au jamaa anapendwa sana na mkewe au mumewe...
Habari za humu wapendwa wangu
Hapa nimeamka muda huu nalia sana namlilia mume wangu,nalia kwa MUNGU kwa nini napitia haya..
Mume wangu alikuwa nje ya nchi kimasomo kama miezi minne sasa na alikuwa...
WanaJf kiukweli nimeishiwa makali ya kutongoza, sijui nimepoteza mvuto au nawakosea timing. Najua mtasema kwa nini nataka kutongoza? Hii ni kwa sababu NatWest siku nikiachwa nisiwe mwoga nikaja...
Baadi ya jamii afrika huoza watoto wao wadogo kwa sababu za kifedha
Umoja wa Afrika umeanzisha kampeini kabambe barani Afrika kusitisha ndoa za watoto wadogo.
Kampeini hiyo ilizinduliwa mjini...
kwa kinadada wenye umri kati ya 18-35.
Kama ungekuwa na uchaguzi kati ya wanaume wawili kwa ajili ya kuwa na serious relationship; wa kwanza anakuridhisha, kukufikisha na kukidhi haja zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.