Pongezi to all Tanzanian ladies

manno1

Member
May 20, 2014
7
0
Ladies do you know why most foreigners (men) wanadata kwenye mpenzi nanyie.

Ukweli ndo huu from experience,wengi wenu niwasafi,so far for east and southern Africa countries nimeishi hakuna wanawake wasafi kama Tanzania,wanajua kuoga before and after match kitandani hausiki harufu mbaya, wanajua kunyoa chini nakwapa.

December nilikuwa nchi moja yakusini,tulienda club nademu kurudi aligoma kuoga fikiria jasho lakucheza muziki, badae nilimuforce akaenda kuoga.

After kupeana mambo akalala bila kunawa,niliambia jamaa zangu wakasema ndo walivo.

Mimi tangu nijue mapenzi niwapa big up bongo ladies you are smart.
 

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,180
2,000
duuh mi nilifikiri tunasifiwa kwa mema..kumbe uzinzi..thax anyway
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom