Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamii forum,Hivi KIUKWELI UNAWEZA UKAPENDA BILA KUTAMANI?????????Maana hii kitu imenisumbua sana akili kwamba unampenda tu binti ila nijuavyo mm unamtamani kwanza unapomuona mara ya kwanza halafu baadaye unampenda,ni mtazamo tu unaweza ukwa kweli au uongo maoni yenu wadau