House girls na akina baba

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,268
2,000
Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua!

Kumekuwa na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls.

Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijari sio kusimamisha na kudumbukiza kwenye kila shimo mwisho wa siku mtapanda hadi ndugu zenu na wanenu.

Mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahousegirl coz hata kufua chupi hawajui sembuse kusafisha uchi?

Hivi wanawake huko nje wameisha hadi umchukue house girl?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx type !!

Mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko sio dili baki njia kuu!!!
 
Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,268
2,000
dah pole sana..calm down....saa hizi na hii thread umetoka kumfumania mumeo na housegirl ?

kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
 
PRINCESS ABBY

Member
May 17, 2014
47
0
aisseeee! nawachukia sana hg hasa wasojitambua!!!!
kumekva na thread nying sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma hg. hiv nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijar co kjcmamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa skku mtapanda had ndugu zenu na wanenu.

mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahg coz hata kufua chup hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx typ !!

mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko co dili baki njia kuu!!!

hehehehe waambie hao wanaopenda kuvua pichu za kila wamuonaye mengne hata mswak hayajui kupga halafu wanaleta mbwembwe
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,567
2,000
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto

duh sipati picha......kumbe sisi wanaume unaweza kuuliwa bila sababu kumbe mwanamke kashapanga mumewe aje afumanie...duh.....cc Nyani Ngabu OLESAIDIMU Mentor
 
Last edited by a moderator:

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,460
2,000
tutatembea nao sana mpaka mtakapojirekebisha maana nyie wake zetu mkishafunga ndoa basi mnajiachia hata kunyoa mavuziz ni ishu yaani unakuwa mchafuuu huko chini hakufai kisa upo kwenye ndoa, minuno ya kufa mtu nani anataka tabu na house girl yupo around wacha tuwape mishedede.
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,439
2,000
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto

Thread yako inaelezea jinsi wanaume wanavyodandia hgs wachafu wasiojua kufua chupi etc....Kama ukitaka kulipiza, nashauri usichukue houseboy wa ukweli. Nawewe tafuta aliyechoka mwenye ukurutu, anayenuka majasho na mavi ya ng'ombe!
 
Ndeke afwege

Senior Member
May 20, 2014
154
0
hehehehe waambie hao wanaopenda kuvua pichu za kila wamuonaye mengne hata mswak hayajui kupga halafu wanaleta mbwembwe

unaweza ukawa bomba kwa mwonekano kumbe ndani zero..... Mapenzi ni hisia hg tutawafumua mpaka basi. Hvi hamjui kuwa hg ni watamu kulko ninyi?
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,630
2,000
Halafu nani kakwambia hg hajui kufua chup?ukiona hadi mumeo anakula hg ujue ww una napungufu makubwa sana.
 
Mkirua

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
5,652
1,225
aisseeee! nawachukia sana hg hasa wasojitambua!!!!
kumekva na thread nying sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma hg. hiv nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijar co kjcmamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa skku mtapanda had ndugu zenu na wanenu.

mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahg coz hata kufua chup hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx typ !!

mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko co dili baki njia kuu!!!

suppose anajua kufua hyo pichu na chiu akaosha vuzuri, will it be okay?
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,530
2,000
aisseeee! nawachukia sana hg hasa wasojitambua!!!!
kumekva na thread nying sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma hg. hiv nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijar co kjcmamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa skku mtapanda had ndugu zenu na wanenu.

mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahg coz hata kufua chup hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx typ !!

mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko co dili baki njia kuu!!!

Mtekeleze wajibu wenu kikamilifu.Kila kazi ya nyumbani anafanya dada wa kazi kwa nini asipewe haki yake?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom