Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa nipo chuo kikuu nangu nasoma sijawahi kuwa na msichana kwani nimesoma shule za boyz mpaka nafika huku na sina mapungufu ya aina yoyote naomba msaada wenu wa mawazo...
Mimi ni kijana wa miaka ishiri na nne ninaishi hapa mkoani Arusha na pia ni mwanachuo ktk chuo kimoja kilichopo karibu kabisa na hospitali ya seliani mjini.
Ninae mpenzi wangu ambae tunapendana...
wapendwa habari zenu.
Kanitumia elfu kumi kwenye m-pesa account yangu.
Lengo lake nipande gari nimfuate kwenye sehemu za starehe.
Zimepita wiki mbili hela nimekula kwenda sjaenda...
Habari wanajamvi. mie natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 mwaka huu, sasa naomba ushauri wa kumpata bestman, msimamizi wa ndoa yangu aweje awe na sifa zipi, maana even ukiwa kanisani wapo watu...
Weekend iliyopita nilikuja kuombwa ruhusa na ushauri toka kwa mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) ambaye kwa namna moja au nyingine niko naye kwangu tokea 2009 kwamba anataka kuoa, la ajabu kumbe...
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana
katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa...
Muda huu nipo na wadada hapa kiwandani wanapeana mastori.Walipo wao na mimi kuna barrier fulani hivi ambayo hatuonani ila kusikia nitakacho ongea mimi au wao tutasikilizana. Kwa kifupi hawanioni...
Ndugu zangu ni muda mrefu tokea nikumbatiwe na mpenzi wngu takribani miaka sita nyuma , nimekuwa na hisia za mapenzi kwa muda mrefu na kitu kinachoniumiza most of the guys who loves me sina...
jamani n muda mrefu sana tangu nlipowahi kuwa close na guy (hug) am not experience wat sex is bt through hugging nlipata kujua on how its good to be touched with some body with differnt sex...
Nimekumbana na hii huko kwa Michuzi....
Wenye Masters hebu changamkieni 0.5 wa Kijerumani!!
aluta continyua
Kaka Michuzi,
Kwa jina naitwa Jovinata Kileo. Natokea mkoa wa Kilimanjaro...
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
Mambo wadau.Hivi kule fb ukitaka kung'oa demu unafanyaje maama naona kila kitu kipo open kuna mademu wako loose tu kule. Ukimwi upo na unaua tumia condom
Wadau!
Baada ya kuzinguliwa ukweni kwamba nimechelewa kupeleka posa, nimeamua kutafuta mwanamke mwingine,
Mimi ni mwanaume, mfanyakazi, nina umri wa miaka 28, elimu yangu ni degree,
Natafuta...
Imefika kipindi muhafaka katika maisha yangu kuwa na mtu ambaye tutaanzisha familia hapo baadae sina maneno mengi kwa msichana aliye tayari naomba tuwasiliane.
Na ingekuwa vizuri angekuwa...
Nina mchumba ambaye nimekuja kugundua kuna m'ke mwenye watoto wa3 anaishi naye.Nikambana sn na kumweleza nimelifahamu kwa njia gn,alikataa badae akakubali na kuniomba msamaha na kuanza kunieleza...
Kuna dada mmoja alikuwa na mwanae alomzaa bila kuolewa kaishi nae mpaka kafika mtoto darasa la 5 .kunasiku yule dada alipotelewa na pesa yake elfu kumi haijulikani kama yule mtoto aliiba pesa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.