Mwanamke ...

Hehehhehe haya bana...leo hata neno sina,ujumbe wa part ya mwanamke mwerevu nimeupenda sanaaaa
 
unarudi toka kazini unakuta amejilaza kwny sofa headphons masikio yote na kismat phone yupo fb, watsap mda wote, hana time na ww, chakula anakwambia angalia ezani km wameshakutengea chakula
 
Si bora uwe unatoka kazini kweli sasa?
Muda huo unatoka mchepukoni ila ukifika nyumbani unataka unyenyekewe na utakatifu wa kuigiza utasema wakishaingia manabii peponi utafata wewe!!!
Wanawake wanawa ignore wakishachoshwa na kero zenu!!!
 
unarudi toka kazini unakuta amejilaza kwny sofa headphons masikio yote na kismat phone yupo fb, watsap mda wote, hana time na ww, chakula anakwambia angalia ezani km wameshakutengea chakula

raha jipe mwenyewee mwanamke usisubiri kupewa...
Mhh ila wanaume mna over expect bwn..
 
Back
Top Bottom