Zingatia haya

Zingatia haya

SMIGO

Senior Member
Joined
May 13, 2014
Posts
148
Reaction score
19
Hili jukwaa ni kwaajili ya mapenzi, mahusiano na urafiki lakini yanayowekwa huku cyo jamani, tuangalie jukwaa lisifungwe wajamen, IMEJIPOST by HP
 
Last edited by a moderator:
ila hayo uliyoyaweka wewe ndiyo yenyewe eehhh?sasa hapo unamaaanisha nini?thred imejipost yenyewe?kazi kweli kweli.
 
Kumbe ni coffee filter????

ndo yeye na sikia na ma id ya zamani kaungwa nayo

mrembo tausi,regina wa ukweli na nyingine nyingi nadhani Hata sasa hivi atakuwa online naa nyingine jo kapigwa ban
 
ila hayo uliyoyaweka wewe ndiyo yenyewe eehhh?sasa hapo unamaaanisha nini?thred imejipost yenyewe?kazi kweli kweli.

hiyo staili ya imejipost kaitoa kuleeeeeee fb
 
ile ilikuwa bomba ile mbaya ila hata hii ni nzuri pia mamito usijali mwaya,na nina uhakika nitaizoea tu.
ahahahahah kwaio unataka nirudishe ile??? jitahidi kuizoea hiyohiyo ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom