Karibu Tangaaa

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,876
7,934
Ukija tanga Uje na Khangaaaa usije mikono mitupu....mkono mtupu haulambwi

kitangaaaa.jpg
 
Tanga kubwa hebu taja eneo mahsusi manake ukienda Lushoto na kanga yako wafwa
 
Mimi nikiendaga horohoro lazima niende kwa fundi kwanza
Bila hivyo ukizama tu tanga unaweza usirudi tena
 
Kinachonifurahisha tanga ni zileee raha zake zile,hrf hakuna kibao cha kwa heri kipo cha karibu tanga tu
 
Back
Top Bottom