Hii kitu Tarime one na hii kitu Macho inaweza kuwa kuna kitu hapo.
karibu sana mkuu ila mambo ya fb hapa hatuyahitaji kama ni thread tupe yenye mafunzo na kutufurahisha vinginevyo utachambwa ikibidi na mabango utapewa ukipost ujinga karibu sana.
Mkuu mbona unataka kuniharibia siku kwa ukaribisho wako
Jamani mimi ni mgeni humu jamii forum nimevutiwa na sana na hili jukwaa kwa muda mrefu sasa. Je nimepokelewa? Nyani Ngabu,bujibuji,Likudi na wengineo
karibu mi ndio mwela hazina huwa nakusanya michango yote kwa maelezo zaidi piga 111 niulizie
Hii kitu Tarime one na hii kitu Macho inaweza kuwa kuna kitu hapo.