Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Babu yangu alikuwa na wake 7,mke wake wa 3 ALIMKUTA TAYARI ANA WATOTO 3 KESHAZALISHWA HUKO ALIKOKUWA,KWA BABU YANGU ALIZAA WATOTO 2,HIVYO TULIISHI PAMOJA KAMA NDUGU NA WATOTO WALE JINA LA UKOO...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Heshima kwenu wana MMU. Nimeadimika sana hapa Jamvini ingawa huwa napitia kuzisoma post za wadau mara kwa mara. Wakuu nisiwachoshe sana, niingie kwenye mada iliyonileta hapa. Nina mpenzi...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Pengine unahusika na hili na pengine ni mwanzilishi wa hili jambo kwenye ndoa yako/zako(4weddn@) sasa basi kukumbusha tu 1kor 7:1-10 ndoa na iheshimiwe na watu wote mke hana mamlaka juu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WADAU NAOMBA MSAADA WA KUNIJULISHA WALIPO HAWA NDUGU ZANGU HASA CONTACTS ZAO. Mimi ni mwalimu mstaafu kwasasa, ninaishi Dodoma mjini, leo nimekuja na uhitaji kidogo wadau, kuna ndugu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwenu wanaume na wanawake wa jukwaa hili, Hili jambo huniwazisha sana. Ni kawaida kabisa pale ambapo mwanaume anapotoka nje ya ndoa basi watu wote wanawake kwa wanaume watamlaumu mke wake kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Nimejikuta nimegonga mademu kama wa 4, wote baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miezi kadhaa ndio husema ukweli kuwa wameolewa. mwanzo husema naishi na mama yangu mdogo au na dada yangu. nikimpiga...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Thanks for support thanks for private message that you got me, you have changed my world a lot. Thanks to those who paid a visit at my home I've got good real friends. For sure nimeacha hisia za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
By: Anika Rao ' apd-clickurl="http://cdn.appendad.com/ox/www/delivery/ck.php?oaparams=2__bannerid=1472__zoneid=99142__cb=ff8c54e39f__oadest="...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Nahitaji mwanamke umri 35+ mawasiliano mbongajiwakariakoo@gmail.com
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sio siri ujio wa simu ya kiganja umepunguza majonjo ya kutongoza. Siku hizi vijana wa kileo hawapati matatizo kama kupigwa na kakamtu, baba MTU au Dada mtu, zamani ilikuwa ni lazima udunde na...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Wiki ilopita nikiwa katika matembezi nikasikia jamaa wanasimuliana, eti mimi mwanamke akiniambia tu ana mimba basi namnyanyulia Barieer aondoke zake, nilicheka na kusikitika, nikawashangaa sana na...
15 Reactions
82 Replies
8K Views
Wana MMU kama tulivyosikia na kusoma; ndoa ya Flora na Emma imetikiswa sana. Na kama jambo hili likibainika kweli katika jicho la kisheria basi ni dhahiri ndoa hii itasinyaa sana. Mimi...
1 Reactions
215 Replies
20K Views
Baada ya kuwa katika uchumba kwa kipindi kisicho pungua miaka miwili tangu tuhitimu wote elimu ya chuo kikuu na binti mmoja mwenye asili ya mikoa ya kaskazini (killer-manjaro) nikaamua sasa acha...
2 Reactions
199 Replies
19K Views
Mchunguzi Mahiri ndani ya Kusini mwa jangwa la Sahara bado nipo na nitaendelea kuwepo huku nikiheshimu sheria zote jamiiforums. Kuna njia nyingi sana za kumtambua mwanamke anayetafuta mwanaume...
8 Reactions
84 Replies
14K Views
Kama ilivokawaida kila mtu ana mpenzi wake wakumliwaza akiwa mchovu,wakumpenda kwa dhati,wakua rafiki wa karibu,wa kukujali na kukuthamini! siku moja eti n mm ntapata mtu wa kunipenda...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Niligundua mke wangu anamahusiano na kijana mmoja ambaye nilidhamilia lazima nimtafute mpaka nimpate,nilichokifanya nikuingia kwenye google na kudownload huduma ya sms forwading kwenye simu ya mke...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Boyfriend is too busy na church things mpaka ananisahau jamani kaenda kwenye kongamano tangu ameenda no calls no msg hiv hii inamaanisha nini eti?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii imemkuta ndugu yangu wa karibu aliyekuwa akifanyakazi ofisi fulani hapa nchini, Baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka kadhaa alikuwa amejikusanya weeeee pamoja na biashara zake akajenga...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Back
Top Bottom