kwa nini wanawake huficha kama wameolewa?

kwa nini wanawake huficha kama wameolewa?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Nimejikuta nimegonga mademu kama wa 4, wote baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miezi kadhaa ndio husema ukweli kuwa wameolewa.

mwanzo husema naishi na mama yangu mdogo au na dada yangu. nikimpiga mashine mara kadhaa na kutaka kujua kwao ndio husema ukweli mara nimeolewa ila mme wangu ni mwanajeshi yuko mkoa fulani mara ni polisi analinda benk. sasa kinachonishangaza kwa nini wanaficha mwanzo angali ni hatari sana?

ni kwamba wanakuwa hawawapendi waume zao? au hawafikishwi? au genye zimewazidi?
 
mjali tumbo endelea tu ili ukifumaniwa unatatuliwa marinda au unatembezwa uchi mtaa mzima......
 
Last edited by a moderator:
huenda shoo yako ya kitoto!hua wanatafuta sababu ya kukuacha!

Kwi.kwi.kwi...shoo ya kitoto . shoo ya kukubwa:flame: hapo lazima kabla ya kuanza uakikishe fire extinguisher iko pembeni mwa kitanda maana papuchi inaweza lipuka ukakosa cha kuzimia.
 
jamaa anaonekana mtu wa kudanganywa sana...mi nnavyojua wanawake huona ufahari kusema kwamba wameolewa...ndio maana utakuta hata muislam ambaye hawavai pete utakuta kavaa bonge la pete.
huenda shoo yako ya kitoto!hua wanatafuta sababu ya kukuacha!
 
Hahahahahahahaaaaaa papuchi inweza kulipuka ukakosa cha kuzimia hahahahah
Kwi.kwi.kwi...shoo ya kitoto . shoo ya kukubwa:flame: hapo lazima kabla ya kuanza uakikishe fire extinguisher iko pembeni mwa kitanda maana papuchi inaweza lipuka ukakosa cha kuzimia.
 
hahaha afu wewe!! Unantafutia kesi?? Utakapokimbiwa na huyo mzungu wako usijekutulilia humu!!! Ndiyo mana unavalishwa G- string haha!! Si hyo hapo!!!

Hehehe...umekosea leo sijavaa kitu ndani,alafu nimevaa msuli sasa.....yaani dushe linapumulia kiti cha ofisini hapa. mkome kukalia viti vya watu, kuna dada kaja kakalia cha kwangu eti anasema " Ben kiti chako kina joto" .... Kudadeki.
 
usituletee uongo wako wa kitoto hakuna mwanamke anayeficha kama kaolewa tena kwao huwa ni faraja kubwa kujulikana kama kaolewa pengine unagonga ndugu zako.
 
Nimejikuta nimegonga mademu kama wa 4, wote baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miezi kadhaa ndio husema ukweli kuwa wameolewa.

mwanzo husema naishi na mama yangu mdogo au na dada yangu. nikimpiga mashine mara kadhaa na kutaka kujua kwao ndio husema ukweli mara nimeolewa ila mme wangu ni mwanajeshi yuko mkoa fulani mara ni polisi analinda benk. sasa kinachonishangaza kwa nini wanaficha mwanzo angali ni hatari sana?

ni kwamba wanakuwa hawawapendi waume zao? au hawafikishwi? au genye zimewazidi?

Ulikuwa unachunwa tu...akikuambia ana mume utapunguza matumizi
 
jamaa wewe, hao wanawake wa wapi ambao hawasemi...?
 
Nilitaka kukusaidia lakini kwa vile umeandika kihuni, nawachia "wahuni" wenzio muendelee.
 
Ni gia ya kukukataa, inaonesha una kinuka mkojo, mana wanawake wengi wanapenda mitanange
 
Back
Top Bottom