JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Wiki ilopita nikiwa katika matembezi nikasikia jamaa wanasimuliana, eti mimi mwanamke akiniambia tu ana mimba basi namnyanyulia Barieer aondoke zake, nilicheka na kusikitika, nikawashangaa sana na kujisemea moyoni mtoto si ni baraka jamani.
Kumbe sikujua tofauti ya mafunzo ya kinadharia na kivitendo, jana si yakanikuta, asubuhi asubuhi binti mmoja ananipigia simu ana mimba yangu, jasho lilinitoka.
Nikawa natetemeka tu, nikajipa moyo na kumjibu usijali nitawalea wewe na mtoto, huku moyo ukienda kwa kasi, baada ya kama masaa matano ananipigia simu eti nilikuwa nakutania nione kama unanipenda, akidhani ananifurahisha, yule binti nimemchukia vibaya sana maana angeweza kuniua kwa presha.