Mwenye ujuzi aniambie kama hii ni sawa

Mwenye ujuzi aniambie kama hii ni sawa

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
Boyfriend is too busy na church things mpaka ananisahau jamani kaenda kwenye kongamano tangu ameenda no calls no msg hiv hii inamaanisha nini eti?
 
na wewe tafuta cha kukuweka busy
 
Boyfriend is too busy na church things mpk ananisahau jamn kaenda kweny kongamano tangu ameenda no calls no msg iv hii inamaanisha nini et

Pole sana.

Inategemea, huwezi kusema yaliojificha lakini mengi yanawezekana. Kwanza suala la kusema mtu upo busy mpaka unakosa mda wa kumsalimia mwenzi wako hii kitu sio kweli kabisaaaaaaaa. Lakini sababu inaweza ikawa km ifuatavyo. Labda sio mtu wa kujali sana ila haimaanishi kua anasaliti au ana mtu mwingine. Sababu ingine labda ana stress zake, mtu mwingine akiwa na stress sn basi anakosa furaha na kuwa na watu wake wa karibu anataka kuwa mwenyewe tu kuwaza mambo yake. Sababu ingine anaweza kuwa na mahusiano mengine, sasa hakuhitaji tena ila anashindwa kukwambia, ndo anataka uchoke uende tu.

Ushauri wangu, jaribu kumweka karibu na uweze kumfahamu zaidi, usiwe mlalamikiaji maana utampoteza kabisa, ila jaribu kufahamu nini kinamfanya awe na tabia hiyo, mwanamke ukitumia nguvu yako yakike kimaneno mwanaume hafurukuti. Ila ukiona imekua ngumu kumeza basi mtu asikupe stress, unamwacha tu uone kama atajirudi au la, na km hajirudi we songa mbele tu. Kila laheri
 
Boyfriend is too busy na church things mpk ananisahau jamn kaenda kweny kongamano tangu ameenda no calls no msg iv hii inamaanisha nini et

Edit heading yako haieleweki,,! Inamaanisha kaenda kanisani
 
HMS@nadhan wew umeshaliza kil kitu asante kwa ushauri wengn watacopy na kupaste asante sana
 
Mshana jr@walioelewa wameshashaur wew endelea na other business
 
Kwa nini usiende naye kwenye hilo kongamano? Inaelekea wewe ni mvivu kwenye mambo ya kiroho. Wacha akakutane huko na wanaompenda Mungu kuliko wewe. Wewe subiria kupigiwa simu na sms.
 
kweli uyu umfai kabisa either bwana akubailishe au amuepushe nawe bora yuko busy na Mungu je angekuwa busy na girls au club mshukuru Mungu uyo ndo mume jambo ni kuongea nae unataka nn nacyo kumuanika umu iv any way nikama cyo type yake wewe
 
1. Usikae ujaribu kuweka assumptions zako kwenye jambo ambalo unaweza kuuliza na kupata jibu.
 
Si afadhali anashinda church, wa wenzako wanshinda kwenye starehe
 
Boyfriend is too busy na church things mpk ananisahau jamn kaenda kweny kongamano tangu ameenda no calls no msg iv hii inamaanisha nini et

jiongeze hapo...ushaachwa au kuna mtu anakaimu nafasi yako
 
Mwenzio yuko na serious annointing wewe una lalamika je ulitaka awe busy na papuchi au club.... yaani mabinti wengine kazi kweli
 
Boyfriend is too busy na church things mpk ananisahau jamn kaenda kweny kongamano tangu ameenda no calls no msg iv hii inamaanisha nini et

Hakufai huyo, wewe zaizi yako ni mwanaume anaeshinda na kukesha bar.
 
Back
Top Bottom