Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mashambani kwao, Mar 10, 2012.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo naomba uchangie bila jazba.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa shule za boarding au?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  unauliza vumbi pit?
  Wanakoboana!
   
 4. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tatizo kwani ni nini? au una mawazo yako binafsi yanakusumbua? ua kuna mmoja ulitaka uoge naye akakugomea?funguka mkuu.
   
 5. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  wakishakoboa pumba wanazipeleka wapi?wanakoboa kwa mashine gani,yadiesel au umeme?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida kwani wakaka hamwezi kuoga pamoja?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmh jamani loh..kijijini kwetu tunaoga pamoja mtoni yaani more than 50 ladies huku tunasogoa tatizo nn?kwetu utandawazi bado kufika so hii mambo ya Lesbo mbado kabisa
   
 8. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaume hawawezi kuoga bafu moja hata kulala same side hawawezilazima watalala mzungu wa nne
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mashine za manyo
  pumba wanalisha mabata makubwa makubwa

   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  yelewiiii i i i i i i i

   
 11. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ni kawaida tu mbona!
   
 12. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona swimming pool wanaoga pamoja?
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  chuoni kulikuwa na bafu moja kubwa vidume tulikuwa tukioga kwa pamoja huku tukipiga story za kumwaga. Ukiwa mwoga au dushelele ni aina ya sweta basi unaoga na kyupi. Pia kijijini kwetu wakubwa kwa wadogo jinsia moja tunaoga pamoja iwe mto nabili, kisimani kagera msaki, bwawani kwa salumu ama ziwani. Ni kawaida mwamba tembea uone
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wapiga chabo utawajua tu!!!
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanasema huwezi kuwachunguza wanawake, hao viumbe ni wa ajabu sana.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Madudu, kwenye swimming pool wana-swim pamoja! Kha!
   
 17. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shule za boarding zina wasichana,yeye amesema wanawake!
   
 18. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....aisee....
  Thanx for making my day.... So funny...
  ...teh teh teh...
   
 19. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33


  ...."wanakoboana"....
  haahh...haaaahhaaa....
   
 20. b

  bilabaye Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kwani huwa wanaoga pamoja? Je na wanaume?
   
Loading...