Ujio wa simu umeharibu manjonjo na utamu wa kutongoza

Ujio wa simu umeharibu manjonjo na utamu wa kutongoza

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,181
Sio siri ujio wa simu ya kiganja umepunguza majonjo ya kutongoza. Siku hizi vijana wa kileo hawapati matatizo kama kupigwa na kakamtu, baba MTU au Dada mtu, zamani ilikuwa ni lazima udunde na mwiko au umwagiwa maji wakati unavizia.

Mbu walituuma sana, makaka walikuwa maadui wa kwanza ukiwa mawindoni. Msichana akianza kukua anaongezewa ulinzi, hata akitumwa chunzi ni lazima aambatane na kitoto kinachojifunza umbeya hasa miaka 7.

Siku hizi darasa la nne naye anasimu na anatafuta boyfriend na kumwonyesha mama, wakati mwingine wakati wa siku ya kuzaliwa kwake anamlazimisha mama kuwa ni lazima awepo.

Vijana mmepoteza uwezo na manjonjo ya utunzi wa maneno matamu yenye ushawishi wa hali ya juu kumvitia msichana naye akapata raha jinsi unavyompanga na kumpamba.

Yaani siku hizi mnatongoza hivi;

Dada vipi

Safi

Samahani naomba no. Yako

Akishatoa anapiga pale pale kuakiki, utasikia nilizani umenipa no ya Gari; poa basi nitakucall. Baada ya nusu saa ashatoka ATM utasikia UKo wapi tukapate juisi.

Hapo kamaliza mchezo. Tusiendeleze uonevu huu wa kukwepa kutongoza kwani mnamwondolea raha mtongozwaji anashindwa kulemba macho, kujinyonga nyonga mikono, kungata kidole kutafuna kucha , kuandikia kidole cha mguu ardhini kulalisha shingo kwa maringo huku mmm mmm zikiwa nyingi na hapana kibao.

Huu ni uonevu kutomvizia vizia Mara kwa Mara kuonyesha juhudi za kumhitaji. Sio anamaliza juice unaota tex mwende baa yenye guest.
 
Msisubiri kuona haya
QUOTE=mgt software;9914543]Sio siri ujio wa simu ya kiganja umepunguza majonjo ya kutongoza.

Siku hizi vijana wa kileo hawapati matatizo kama kupigwa na kakamtu, baba MTU au Dada mtu, zamani ilikuwa ni lazima udunde na mwiko au umwagiwa maji wakati unavizia, mbu walituuma sana, makaka walikuwa maadui wa kwanza ukiwa mawindoni. Msichana akianza kukua anaongezewa ulinzi, hata akitumwa chunzi ni lazima aambatane na kitoto kinachojifunza umbeya hasa miaka 7
Siku hizi darasa la nne naye anasimu na anatafuta boyfriend na kumwonyesha mama, wakati mwingine wakati wa siku ya kuzaliwa kwake anamlazimisha mama kuwa ni lazima awepo.

Vijana mmepoteza uwezo na manjonjo ya utunzi wa maneno matamu yenye ushawishi wa hali ya juu kumvitia msichana naye akapata raha jinsi unavyompanga na kumpamba.
Yaani siku hizi mnatongoza hivi;
Dada vipi
Safi
Samahani naomba no. Yako
Akishatoa anapiga pale pale kuakiki, utasikia nilizani umenipa no ya Gari; poa basi nitakucall
Baada ya nusu saa ashatoka ATM utasikia UKo wapi tukapate juisi. Hapo kamaliza mchezo.
Tusiendeleze uonevu huu wa kukwepa kutongoza kwani mnamwondolea raha mtongozwaji anashindwa kulemba macho, kujinyonga nyonga mikono, kungata kidole kutafuna kucha , kuandikia kidole cha mguu ardhini kulalisha shingo kwa maringo huku mmm mmm zikiwa nyingi na hapana kibao.
Huu ni uonevu kutomvizia vizia Mara kwa Mara kuonyesha juhudi za kumhitaji. Sio anamaliza juice unaota tex mwende baa yenye guest.[/QUOTE]
 

Attachments

  • IMG-20140619-WA0002.jpg
    IMG-20140619-WA0002.jpg
    42.6 KB · Views: 706
  • IMG-20140623-WA0000.jpg
    IMG-20140623-WA0000.jpg
    15.7 KB · Views: 653
Mimi Naona Uvumbuzi Wa Simu Umerahisisha Sana Kutongozana Kwani Hayo Manjonjo Hata Kwenye Simu Unaweza Ukayasikia
 
Sio siri ujio wa simu ya kiganja umepunguza majonjo ya kutongoza.

Siku hizi vijana wa kileo hawapati matatizo kama kupigwa na kakamtu, baba MTU au Dada mtu, zamani ilikuwa ni lazima udunde na mwiko au umwagiwa maji wakati unavizia, mbu walituuma sana, makaka walikuwa maadui wa kwanza ukiwa mawindoni. Msichana akianza kukua anaongezewa ulinzi, hata akitumwa chunzi ni lazima aambatane na kitoto kinachojifunza umbeya hasa miaka 7
Siku hizi darasa la nne naye anasimu na anatafuta boyfriend na kumwonyesha mama, wakati mwingine wakati wa siku ya kuzaliwa kwake anamlazimisha mama kuwa ni lazima awepo.

Vijana mmepoteza uwezo na manjonjo ya utunzi wa maneno matamu yenye ushawishi wa hali ya juu kumvitia msichana naye akapata raha jinsi unavyompanga na kumpamba.
Yaani siku hizi mnatongoza hivi;
Dada vipi
Safi
Samahani naomba no. Yako
Akishatoa anapiga pale pale kuakiki, utasikia nilizani umenipa no ya Gari; poa basi nitakucall
Baada ya nusu saa ashatoka ATM utasikia UKo wapi tukapate juisi. Hapo kamaliza mchezo.
Tusiendeleze uonevu huu wa kukwepa kutongoza kwani mnamwondolea raha mtongozwaji anashindwa kulemba macho, kujinyonga nyonga mikono, kungata kidole kutafuna kucha , kuandikia kidole cha mguu ardhini kulalisha shingo kwa maringo huku mmm mmm zikiwa nyingi na hapana kibao.
Huu ni uonevu kutomvizia vizia Mara kwa Mara kuonyesha juhudi za kumhitaji. Sio anamaliza juice unaota tex mwende baa yenye guest.
Ni kweli, haa ni kweli. Acha nisemeeko,... KING KIKI na Masantula
 
af kulikuwa kuna UMISSETA na EASTER CONFERENCE
haaaaaaya makussnyiko mawili haaaaaya!
enhnhnhe
 
  • Thanks
Reactions: ram
af kulikuwa kuna UMISSETA na EASTER CONFERENCE
haaaaaaya makussnyiko mawili haaaaaya!
enhnhnhe

Yaani kama kuna kongamano ndio unajipanga haswaa maneno daftari mzima unakariri.
Unakumbuka wale vijana waoza vyombo wa x-makert walikuwa wataalamu wa kutongoza mtu kwa kutumia mbwembwe nyingi za lugha ya kingereza baada ya sekund huwa wakiishiwa maneno utasikia asomesheki ni jiwe huyu.
Kutongoza raha bwana pale unapokumbuna na kisiki cha kuzungushwa. Pia utamu unakuja pale kaka mtu ashakupiga ngwala hapo ndipo hauachii kabisa unalalamika uku unaonyesha alama za michubuko eti hayo yoyote kwa sababu ya kukupenda sio siku ukitongoza tu kwa simu mzinga wa vocha 10 inaondoka.
 
ha ha ha!!nimemiss kweli kweli,ofcoz simu zinakata stimu,ukiwa unatongoza huku mdada anaona ona aibu ina raha yake,kwa wale wenzangu na mimi wenye genye kama wametoka jela katkat ya mtongozo tu wamedindisha
 
ha ha ha!!nimemiss kweli kweli,ofcoz simu zinakata stimu,ukiwa unatongoza huku mdada anaona ona aibu ina raha yake,kwa wale wenzangu na mimi wenye genye kama wametoka jela katkat ya mtongozo tu wamedindisha[/
QUOTE]
Yaani haina raha kabisa hata kupigwa au kukufinya kuonyesha amekolezwa maneno hakuna!!!!!
 
ahaaaaaaaa kwaio tufanyaje ili hali irud kama zaman
 
ahaaaaaaaa kwaio tufanyaje ili hali irud kama zaman

Madem wasikubali kutongozwa kwa simu thamani ya penzi atakalotoa itaongezeka ule munkali wa kupigwa kalenda utaongeza huitaji hadi jamaa anaweza kupanga ndoa haraka.
Pili hii yakuombana vocha itaisha na ahadi atakazozitoa wakati mnaangaliana atatoa
 
unanisimamisha wima kama minazi ya pwani! unanichezesha raggae bila muziki! nikinywa maji nakuona kwenye glass ah zamani bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom