Sijui lini

Sijui lini

luisajr

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
270
Reaction score
85
Kama ilivokawaida kila mtu ana mpenzi wake wakumliwaza akiwa mchovu,wakumpenda kwa dhati,wakua rafiki wa karibu,wa kukujali na kukuthamini!
siku moja eti n mm ntapata mtu wa kunipenda kweli,kunijali,kunithamini ,kuwa rafiki wa kharibu wa kutokuniumiza ....anipende nimpende kweli ,awe mwanaume wa maisha yangu yote
Awe upande wangu ckuzote,anipiganie kwa kila kitu ,anirejeshee faraja ..namm nipate kujickia n mwanamke n yupo anaenipenda ..ningemjua ningemwita akaitika akawa karibu yangu sasa n hata milele ili nipate tena faraja iliyopotea muda mrefu.
Najua yupo,n ipo cku,saa na wakati atakuja n cjui lini... naona kama maono,kua n yy ni kama ndoto za mchana 7bu hakuna viashiria vyovyote vya kuja yy ....I MISS HIM SO MUCH (cry!!!)
 
Inawezekana katika members wote wa jf ni mimi tu sijawahi kumzamia binti PM sijui nizuke leo?
 
Cna haja n mpenzi ..ila nmeandka kilicho moyoni mwangu kinacho ni pain...kwakua wana JF ni rafiki zangu na zaidi ya ndugu zangu nikaona bora niwashirikishe lililojiri nafsini mwangu ..ili mnipe moyo co kma mnavodhani ..kua nnahaja n mpenz ...
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Humu Tumekua Wote Bana, Acha Uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom