Si mapenzi ya Mungu wanandoa kuishi kama dada na kaka

Si mapenzi ya Mungu wanandoa kuishi kama dada na kaka

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,857
Pengine unahusika na hili
na pengine ni mwanzilishi wa hili jambo kwenye ndoa yako/zako(4weddn@)

sasa basi kukumbusha tu

1kor 7:1-10

ndoa na iheshimiwe na watu wote
mke hana mamlaka juu ya mwiliwake ni mume pekeee
msinyimane hata kidogo unless mmoja wenu ametangulia mbele za haki naamini usomapo hapa bado ujafika mbele ya haki

na maanisha ukiwa kwennye ndoa chukua huo nstari soma aijalishi nini unakutananacho kwenyendoa yako
mungu anaweza

usithubutu kumnyima mwenzio tunda la ndoa ukahisi soln ya matatizo uliyonayo

utabeba laana...nimeona baadhi ya familia wazazi waliachana kwa kunyimanantunda leo wajukuu wakinyimwa mahitaji kwenye ndoa wanafunga kufuli

na ushukuru ufunge kufuli aondoke na funguo useme ipo siku atarudi wengine ukifunga anakuwekea gundi ya aradaiti na funguo anakukabidhi mnakutana siku za msiba

na kama mna watoto mnakutana harusin na hapo ni only kama mama mdogo akubali uende ama udanganye umefiwa ukaishi lodge sendoff mpaka siku ya harusi


temeni matechini jamanii

matatizo ya ndoa yasiwapate millele
 
Hivi mke anaanzaje kukunyima uchawa hali ya kua yuko ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom