mchinja kobe
Member
- Dec 20, 2012
- 8
- 2
WADAU NAOMBA MSAADA WA KUNIJULISHA WALIPO HAWA NDUGU ZANGU HASA CONTACTS ZAO.
Mimi ni mwalimu mstaafu kwasasa, ninaishi Dodoma mjini, leo nimekuja na uhitaji kidogo wadau, kuna ndugu niliopotezana nao ni muda mrefu sana (mwishoni mwa miaka ya sabini), kati ya hao kuna mmoja ambaye alinikabidhi mzigo wake akaenda masomoni baada ya kufika huko tuliwasiliana kwa muda kwa njia ya barua, ndipo muda mfupi baadaye tukapotezana kimawasiliano hadi leo ninapokuja kuhitaji sana msaada wenu wadau juu ya uwezekano wa japo kuwasiliana kwa mara nyingine ili tuhitimishe juu ya mzigo niliokabidhiwa na ndugu yangu mpendwa huyu. Jina lake ni CONSTANCIA ALOYCE NGOWI.
Pia alipokuwa masomoni alinitambulisha kwakwa rafiki yake ambaye alikuja kuwa rafiki yangu pia, jina lake ni EVA MATTEMU, na wadogo wa huyu CONSTANCIA ni MARRY NGOWI na ADELLA NGOWI, nitashukuru sana kama nitafanikiwa ikiwa nitafanikiwa kupata namna ya kuwasiliana na tena japo na yeyote kati ya hawa ndugu zangu niliopoteana nao kwa muda mrefu.
(pia moderator nitaomba sana uone namna bora ya kuhakikisha walau taarifa hii inawafikia wadau wengi zaidi) natanguliza shukrani za dhati kwenu wadau na mod. Mawasiliano yangu ni 0754 328 792 na 0689 418 108.